Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Kulalamika kumeumbwa kwa kila binadamu mbna juz tu hapa mtu kapost kutoka kigoma kaibiwa au cyo kulalamika kule??Mwanaume wa dar kaanza kaz yake ya kulalamika humu.... Yaan wanaume wa daa slam bana
Kwel kabisaHuwezi amini hii kitu inaenda kuwa serious sasa..jana ndani ya daladala nilimsikia konda akimwambia abiria mmoja''jishike kwa mkono mmoja,acha kulalamika unabanwa sana,unakuwa kama mwanaume wa dar bwana"..aiseee nilicheka kwa sauti mpaka jamaa akanimaindi...
Kam hizi mkuu
Yaani nyie basi tu
- Kuwakimbia PANYA ROAD.
- Kwenda saluni kutengeneza kucha.
- Kupenda kula chips kama dada zako.
- Kujipodoa kwa kuchangia vipodozi na demu wako na kushare nguo.
- Udaku na umbea Dar ndo kwao.
- Kutoboa pua na masikio.
- Kuvalia nguo makalioni.
- Kupenda kulelewa na majimama.
Kulamba midomo kivip mi c amin kama kiumbe yoyote mwenye mdom na ulimi hajawah kulamba hata huko mkoani....Na kulambalamba midomo
Habari zenu wanajamvi,
Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema.
Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo wanaharibu jiji nyie chunguzeni fanyeni utafiti mtaona.
We kwel unavyoongea mpka hujawah kula chps??Kulalamika ni sifa moja wapo ya "Wanume wa Dar", mwanaume mzima unapanga foleni ya kununua chipsi na watoto wa kike mwisho wa siku wote walainiiiii.....!! Wakija PWANYA ROAD mnakimbilia uvunguni jiji zima!!
We kwel unavyoongea mpka hujawah kula chps??