Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Huwezi amini hii kitu inaenda kuwa serious sasa..jana ndani ya daladala nilimsikia konda akimwambia abiria mmoja''jishike kwa mkono mmoja,acha kulalamika unabanwa sana,unakuwa kama mwanaume wa dar bwana"..aiseee nilicheka kwa sauti mpaka jamaa akanimaindi...
 
Mwanaume wa dar kaanza kaz yake ya kulalamika humu.... Yaan wanaume wa daa slam bana
 
Mwanaume wa dar kaanza kaz yake ya kulalamika humu.... Yaan wanaume wa daa slam bana
Kulalamika kumeumbwa kwa kila binadamu mbna juz tu hapa mtu kapost kutoka kigoma kaibiwa au cyo kulalamika kule??
 
Huwezi amini hii kitu inaenda kuwa serious sasa..jana ndani ya daladala nilimsikia konda akimwambia abiria mmoja''jishike kwa mkono mmoja,acha kulalamika unabanwa sana,unakuwa kama mwanaume wa dar bwana"..aiseee nilicheka kwa sauti mpaka jamaa akanimaindi...
Kwel kabisa
 
Mwanaume wa Daslam katika ubora wake....hahahahaha naupenda sana huo msemo
 
Kam hizi mkuu
  1. Kuwakimbia PANYA ROAD.
  2. Kwenda saluni kutengeneza kucha.
  3. Kupenda kula chips kama dada zako.
  4. Kujipodoa kwa kuchangia vipodozi na demu wako na kushare nguo.
  5. Udaku na umbea Dar ndo kwao.
  6. Kutoboa pua na masikio.
  7. Kuvalia nguo makalioni.
  8. Kupenda kulelewa na majimama.
Yaani nyie basi tu

Na kulambalamba midomo
 
Habari zenu wanajamvi,

Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema.

Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo wanaharibu jiji nyie chunguzeni fanyeni utafiti mtaona.

Kulalamika ni sifa moja wapo ya "Wanume wa Dar", mwanaume mzima unapanga foleni ya kununua chipsi na watoto wa kike mwisho wa siku wote walainiiiii.....!! Wakija PWANYA ROAD mnakimbilia uvunguni jiji zima!!
 
We kwel unavyoongea mpka hujawah kula chps??
 
1.kususa
2.vyepe
3.kulalamika
4.umbea
5.team flani
6.kulelewa
7.irresponsible
8.vyapombe
 
We kwel unavyoongea mpka hujawah kula chps??

Chips nakula dharura kwa dharura kama nimeenda mahali nina njaa na hakuna msosi mwingine ila nitateseka njaa usiku kucha, lakini unatoka nyumbani kufuata chips kabisaaa za kwako na mkeo na wanao tehe tehe tehe!!
 
Basi na ww unapanga foleni dharura ni kisingizio unakula chps teh teh teh asa mi nnauwezo wa kusema mi c mpnz wa chps kwa ssb ya mafuta ya transfoma ila vikipikwa nakula teh teh teh kumbe wa mkoa ndo walewale
 
Hivi raia nae mnamjumuisha ktk wanaume wa DSM au?
 
wanaume wa Dar wanaongoza kutumia super shaft na viagra pia kuongeza uume maana Wana vibamia ni legelege sana aisee
 
Furahia tu....wanaume wa dar na Magufuli yumo, Majaliwa yumo, Diamond yumo, JB, Master J n.k. kumbe nini? wanaume wa dar. Mwanaume yeyote akitaka kuwa dume lazima aje Dar
 
Mwanaume wa dar badala ya kusema mimi anasema " mie"
 
Back
Top Bottom