Duuuuh umezidisha hao sasa masonsoWanaume wa dar hata biskuti hawawezi kuvunja
C wote lakin jua kutafautisha....Wanavaa pants za madem zao,vibikini
We kumbe unasema mabishoo mbna hata mikoan wapo.....Wanaume wa dar wananiudhi kulambalamba midomo,Wakiingia mliman City wanaongea kingereza cha kuombea maji,
Hamna we umekosa bahati ashakum si matusi ntafute ka hupendag vibamia....wanaume wa Dar wanaongoza kutumia super shaft na viagra pia kuongeza uume maana Wana vibamia ni legelege sana aisee
Sehem zinazoongoe kutumia neno mie kuna T.a, Zenj,Pemba briefly karibu coastal areas zote c Dar pekee....Mwanaume wa dar badala ya kusema mimi anasema " mie"
hahahahWanaume wa Dar, kitu kidogo mnalalamika.
Wa mkoa hamuongop??Sifa ya wanaume wa daslam uwongo upo kwenye damu pmj n kujisifia
Mpk sasa chief lishakua kubwa....Jambo ukiliongelea ndio unalikuza
Kulalamika ni suala la hisia hata wewe ukitendewa kisichokupendeza lazma utalalamika ni haki yako.Wanaume wa Dar bwana. Ndo zao kulalamika.
Chukulia kama hujawahi sikia ndo njia ya kuepuka maana hao wanaotamka neno hilo nikwajili ya kukera wengine sio kwajili yakufurahisha epuka kumuonyesha adui yako udhaifu wakoHabari zenu wanajamvi,
Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema.
Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo wanaharibu jiji nyie chunguzeni fanyeni utafiti mtaona.
Ok chief....Chukulia kama hujawahi sikia ndo njia ya kuepuka maana hao wanaotamka neno hilo nikwajili ya kukera wengine sio kwajili yakufurahisha epuka kumuonyesha adui yako udhaifu wako
Utatisha sana mkuuWanasumbuliwa na wivu wa kike. Mimi ninampango wa kutoa kutoa tisheti kabisa 'Mwanaume wa Dar'.