Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Nakereka sana na huu msemo ''Wanaume wa Dar''

Wanaume wa dar wananiudhi kulambalamba midomo,Wakiingia mliman City wanaongea kingereza cha kuombea maji,
 
wanaume wa Dar wanaongoza kutumia super shaft na viagra pia kuongeza uume maana Wana vibamia ni legelege sana aisee
Hamna we umekosa bahati ashakum si matusi ntafute ka hupendag vibamia....
 
Sifa ya wanaume wa daslam uwongo upo kwenye damu pmj n kujisifia
 
Habari zenu wanajamvi,

Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema.

Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo wanaharibu jiji nyie chunguzeni fanyeni utafiti mtaona.
Chukulia kama hujawahi sikia ndo njia ya kuepuka maana hao wanaotamka neno hilo nikwajili ya kukera wengine sio kwajili yakufurahisha epuka kumuonyesha adui yako udhaifu wako
 
Wanaume wa Dar wanavaa shanga kiunoni,wengine wanasafisha kucha saluni,mie sipendi,Nabaki kwetu usheru shinyanga
 
Back
Top Bottom