Khaa we kweli wa Daslam...yaani unajidanganya ukiwa DAR tu basi maisha mazuri....sasa nani anasindikiza mwenzio aliyepo mkoani ndani ya mjengo na usafiri wake au wewe ulieopo DAR kwenye apartment ya kupanga na asubuhi unasubiria BUS za MWENDOKASI?!Sasa wewe hujui kwamba DAR ndio Tanzania mikoani ni wasindikizaji tu
Na wanaochonga ilo neno wapo kanda ya ziwa roho zina wauma sababu wake na mademu zao wakiwatoroka hukimbilia Dar vidume tuna jitafunia swala kutoka porini kiulaini wao wanajisifia KULA UGALI MKUBWA DAGAA si tunakulaga dada zao tu.Habari zenu wanajamvi,
Mimi kuna msemo unanikera maana unageneralize "wanaume wa Dar". Alafu mbaya zaidi hadi wanaume wenzetu kutoka mikoani wanatusema.
Kuna wengine ndo kwetu na wa mkoa wakija ndo wanaharibu jiji nyie chunguzeni fanyeni utafiti mtaona.
Kulalamika ni sifa moja wapo ya "Wanume wa Dar", mwanaume mzima unapanga foleni ya kununua chipsi na watoto wa kike mwisho wa siku wote walainiiiii.....!! Wakija PWANYA ROAD mnakimbilia uvunguni jiji zima!!