Foleni ya kawe,mikocheni drive inn weekdays ni kufa mtu.
Maeneo ya mbezi,kunduchi,tegeta,boko na bunju makazi yamepanuka kuliko uwezo wa miundombinu yake,namkumbuka mbunifu keenja.
Hivi drive in ndo wapi?
Kuna foleni nako?
Drive in ni karibu na ile gest anakupelekaga bwanako asprin.