kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Wanajamvii Bwana yesu asifiwe!
Leo ni jumapili siku ya ibada sisi KKKT ni siku ya watoto wetuu (ni sikukuu yao) moja vitu vinanikereketa moyo wanguu ni hawa viongozi wa serikali hii inayojiita awamu ya sita wakati kiuhalisia ni ya Awamu ya tano ni kutumia muda mwingi kusema Samia, kila mahali Samia!
Tunajua fika yeye ndio aliyekuteua na Kiongozi wa serikali ni yeye kwa sasa. Hata dunia inajuaa yeye ndio mrithi wa kiti cha urais baada ya aliyekuwa kutwaliwa katoka maisha haya.
Sasa kwanini kutumia maneno yenye jina lake kwenye hotuba yako, kila ayaa wakati yapo mambo ya msingi ungweza kumuheshimisha aliyekuteua kwa kuzungumzaa?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Jina la Dkt. Samia latamkwa mara 40 kwenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali
NIWAPE TAARIFA YA KUWA MNAMDHALILISHA HAMPATI TUU MTU WA KUWAAMBIA LKN HUO NDIO UKWELI
Shida ya Viongozi wa Awamu ya Tano wanapenda sanaa kusifiwaa huo ndio ukweli lakini nataka niwaambie muwe creative kukumsifia kitaalamu.
Kutaja Jina lake mara nyingi wala haimuwekii kuzuri mnaonekana vitukoo na kuonekana hamna creative skills (Lower minded).
Najua nitapata upinzani kutoka kwa machawa lkn huu ndio ukweli.