uchawa kwa viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

    My people, Kumekuwa na uelewa mbaya au upotoshaji wa makusudi kuonyesha jamii kwamba sisi watetezi wa amani, tunafurahia Mauji yaliyotokea 29 Oct 25 Guys hivi kweli hata kwa akili tu ya kawaida mnawezaje kuwatuhumu watu jambo kama hili? Hivi mnaamini kwamba tumekosa utu kiasi hiki? Hapana...
  2. Intricate

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati, huu uchawa wa kumsifia Rais Samia uwe na staha. This is too much

    Yani hata msibani mnadiriki kummithilisha mama na marehemu.
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary School washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Tunalazimisha iwe sherehe ya taifa?

    Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga! Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa? ===================== Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kadogosa: Ni haki kumuombea Rais Samia kwa jinsi anavyohangaika kutafuta fedha za maendeleo

    Wakuu, Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia! Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan, kwani ndiye kiongozi wa nchi na amekuwa akishuhudia juhudi zake kubwa za kutafuta...
  6. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Nakerwa na Hotuba za Viongozi wa Serikali kwa kutumia muda mwingi kulitajataja jina la Samia wakati kuna vitu vya msingi vya kusemea

    Wanajamvii Bwana yesu asifiwe! Leo ni jumapili siku ya ibada sisi KKKT ni siku ya watoto wetuu (ni sikukuu yao) moja vitu vinanikereketa moyo wanguu ni hawa viongozi wa serikali hii inayojiita awamu ya sita wakati kiuhalisia ni ya Awamu ya tano ni kutumia muda mwingi kusema Samia, kila mahali...
Back
Top Bottom