Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,705
Reaction score
30,041
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222 (1).png

My people,​

​

Kumekuwa na uelewa mbaya au upotoshaji wa makusudi kuonyesha jamii kwamba sisi watetezi wa amani, tunafurahia Mauji yaliyotokea 29 Oct 25

Guys hivi kweli hata kwa akili tu ya kawaida mnawezaje kuwatuhumu watu jambo kama hili? Hivi mnaamini kwamba tumekosa utu kiasi hiki?

Hapana mnatukosea sana,hata kama mmekosa hoja baada ya kuwapiga spana za kutosha lakini hiyo ni tuhuma mbaya sana,hawa ni ndugu zetu na watanzania wenzetu hatuwezi katu kufikia hiyo stage

Hata pale tunapo sema kwamba ilikuwa move mbaya in the first place kuandamana bado haimaanishi kwamba tunafurahia yale yalitokea

Pili, tunatagiwa kwa hoja za kipuuzi sana, kwani ni nani amesema tunakataa umwagaji damu wa maelfu ya watu,nani amekataa kuwa Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji?

Maana jinsi mnavyoandika mabandiko yenu kana kwamba mnatu tuhumu kuwa tumepinga au kukataa kwa mambo hayo kutokea,hayo yametokea na wote tunafahamu,kwahiyo muache kutupa tuhuma zisizo na msingi

Tatu,kuna uwongo ambao unasemwa semwa sana na mwisho wa siku unaaminika kwamba ni kweli, si kila mtu ambaye yupo upande tofauti na nyinyi au ana mtazamo tofauti na nyinyi basi atakuwa amekuwa amelipwa hela.

Huu ujinga umeshika kasi sana,wakati mwingine tunaitikia tu kwakuwa ndivyo mnavyoamini hivyo, hiyo serikali ina pesa kiasi gani ya kumlipa kila mtu? Je kuna usalama kiasi gani wa kuonana na mtu au kuwasiliana nae au kumpa namba yako ya simu akuingizie hela.

Jiulize we binafsi hivi kwa mazingira haya unaweza tu kushirikiana na mtu kupush ajenda yake bila kumjua ana malengo gani,je kama ni watu wasiojulikana unaweza tu kuongea nae akakuahidi kukupa hela kuisapoti Ccm au Serikali?

Jibu ni hapana,sasa inakuwaje kila mtu anayetofautiana na nyinyi kifikra basi awe amelipwa na CCM au Serikali?

Ebu tumieni akili hata hizo za kuvukia barabara,kuna wengine wanazo kama hizo na zinawasaidi kureason baadhi ya mambo fulani fulani katika maisha yao ya kila siku

Mwisho kama kila anayesapoti amani na utulivu wa nchi hii ni chawa basi mimi nitakuwa The big Chawa and am Okey with that, do you have a problem with that?

Ni hayo tu!
 
Hawa jamaa wanajiita activist wa JF na n.k

Nilivyowasoma ni watu dhaifu Sana , na wana uwezo mdogo wa ufahamu ni Kama walikula hela ili kuhamasisha vurugu ile 29/10

Hawana hoja
Hawna kauli za kujanga wanandika matusi tu
Hawana utu wala ubinadamu Wao wakisikia watu wamefia barabarani wanapata furaha.

Hii tabia endapo tungeikalia kimya tungekuwa tunalikosea Taifa

Ebu ona hapa wali yo wada ng an ya vijana kuwa jeshi litawalinda na wakaishia kuuliwa Kama KUKU

👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210.png
    Screenshot_20251220-071210.png
    478.6 KB · Views: 21
View attachment 3519938

Huu mwandiko umefanana na wa Mheshimiwa Mwigulu Nchemba.
 
Utumbo mrefuuuuuuuuuuuuuuu hakuna joja.
Nyinyi ni wauaji, wafiraji, walawiti, wabakaji, watekaji, wahuni, walanguzi, wahujumu, mafisadi, wezi, wazinzi, wakola, wavunja sheria, machawa kachara, mashetani, wachawi, mazombie etc etc etc
Mnarudia hayo hayo kwakuwa hamna hoja,ukicha haya mnayotupakizia hamna hoja yenye mashiko
 
View attachment 3519938

My people,​

​

Kumekuwa na uelewa mbaya au upotoshaji wa makusudi kuonyesha jamii kwamba sisi watetezi wa amani, tunafurahia Mauji yaliyotokea 29 Oct 25

Guys hivi kweli hata kwa akili tu ya kawaida mnawezaje kuwatuhumu watu jambo kama hili? Hivi mnaamini kwamba tumekosa utu kiasi hiki?

Hapana mnatukosea sana,hata kama mmekosa hoja baada ya kuwapiga spana za kutosha lakini hiyo ni tuhuma mbaya sana,hawa ni ndugu zetu na watanzania wenzetu hatuwezi katu kufikia hiyo stage

Hata pale tunapo sema kwamba ilikuwa move mbaya in the first place kuandamana bado haimaanishi kwamba tunafurahia yale yalitokea

Pili, tunatagiwa kwa hoja za kipuuzi sana, kwani ni nani amesema tunakataa umwagaji damu wa maelfu ya watu,nani amekataa kuwa Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji?

Maana jinsi mnavyoandika mabandiko yenu kana kwamba mnatu tuhumu kuwa tumepinga au kukataa kwa mambo hayo kutokea,hayo yametokea na wote tunafahamu,kwahiyo muache kutupa tuhuma zisizo na msingi

Tatu,kuna uwongo ambao unasemwa semwa sana na mwisho wa siku unaaminika kwamba ni kweli, si kila mtu ambaye yupo upande tofauti na nyinyi au ana mtazamo tofauti na nyinyi basi atakuwa amekuwa amelipwa hela.

Huu ujinga umeshika kasi sana,wakati mwingine tunaitikia tu kwakuwa ndivyo mnavyoamini hivyo, hiyo serikali ina pesa kiasi gani ya kumlipa kila mtu? Je kuna usalama kiasi gani wa kuonana na mtu au kuwasiliana nae au kumpa namba yako ya simu akuingizie hela.

Jiulize we binafsi hivi kwa mazingira haya unaweza tu kushirikiana na mtu kupush ajenda yake bila kumjua ana malengo gani,je kama ni watu wasiojulikana unaweza tu kuongea nae akakuahidi kukupa hela kuisapoti Ccm au Serikali?

Jibu ni hapana,sasa inakuwaje kila mtu anayetofautiana na nyinyi kifikra basi awe amelipwa na CCM au Serikali?

Ebu tumieni akili hata hizo za kuvukia barabara,kuna wengine wanazo kama hizo na zinawasaidi kureason baadhi ya mambo fulani fulani katika maisha yao ya kila siku

Mwisho kama kila anayesapoti amani na utulivu wa nchi hii ni chawa basi mimi nitakuwa The big Chawa and am Okey with that, do you have a problem with that?

Ni hayo tu!
Hawa jamaa wanajiita activist wa JF na n.k

Nilivyowasoma ni watu dhaifu Sana , na wana uwezo mdogo wa ufahamu ni Kama walikula hela ili kuhamasisha vurugu ile 29/10

Hawana hoja
Hawna kauli za kujanga wanandika matusi tu
Hawana utu wala ubinadamu Wao wakisikia watu wamefia barabarani wanapata furaha.

Hii tabia endapo tungeikalia kimya tungekuwa tunalikosea Taifa

Ebu ona hapa wali yo wada ng an ya vijana kuwa jeshi litawalinda na wakaishia kuuliwa Kama KUKU

👇🏾
Wakuu njooni muone jinsi Ertugrul Bey alivyojitekenya na kuangua kicheko.

Mtu mmoja kabisa huyu☝️ nawaambia
 
Adolf Hitler, Indian Amin, Mobutu, Sani Abacha, Pinochet, Pol pot, Makaburu, Intarahamwe na wengine wengi walikuwa na wafuasi wao, machawa na watetezi, haishangazi nyie kuwa upande wa giza wa watekaji, wauaji na wafiraji kwa kulipwa, udini na hata mapenzi yenu binafsi, nature ya binadamu na ukatili ni jambo la binadamu wote
 
Adolf Hitler, Indian Amin, Mobutu, Sani Abacha, Pinochet, Pol pot, Makaburu na wengine wengi walikuwa na wafuasi wao, machawa na watetezi, haishangazi nyie kuwa upande wa giza wa watekaji, wauaji na wafiraji kwa kulipwa, udini na hata mapenzi yenu binafsi
Huwa siku zote fikra zako ni fupi sana
 
Utumbo mrefuuuuuuuuuuuuuuu hakuna hoja.
Nyinyi ni wauaji, wafiraji, walawiti, wabakaji, watekaji, wahuni, walanguzi, wahujumu, mafisadi, wezi, wazinzi, wakola, wavunja sheria, machawa kachara, mashetani, wachawi, mazombie etc etc etc
Mamako alitekwa na kufirwa lini
 
View attachment 3519938

My people,​

​

Kumekuwa na uelewa mbaya au upotoshaji wa makusudi kuonyesha jamii kwamba sisi watetezi wa amani, tunafurahia Mauji yaliyotokea 29 Oct 25

Guys hivi kweli hata kwa akili tu ya kawaida mnawezaje kuwatuhumu watu jambo kama hili? Hivi mnaamini kwamba tumekosa utu kiasi hiki?

Hapana mnatukosea sana,hata kama mmekosa hoja baada ya kuwapiga spana za kutosha lakini hiyo ni tuhuma mbaya sana,hawa ni ndugu zetu na watanzania wenzetu hatuwezi katu kufikia hiyo stage

Hata pale tunapo sema kwamba ilikuwa move mbaya in the first place kuandamana bado haimaanishi kwamba tunafurahia yale yalitokea

Pili, tunatagiwa kwa hoja za kipuuzi sana, kwani ni nani amesema tunakataa umwagaji damu wa maelfu ya watu,nani amekataa kuwa Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji?

Maana jinsi mnavyoandika mabandiko yenu kana kwamba mnatu tuhumu kuwa tumepinga au kukataa kwa mambo hayo kutokea,hayo yametokea na wote tunafahamu,kwahiyo muache kutupa tuhuma zisizo na msingi

Tatu,kuna uwongo ambao unasemwa semwa sana na mwisho wa siku unaaminika kwamba ni kweli, si kila mtu ambaye yupo upande tofauti na nyinyi au ana mtazamo tofauti na nyinyi basi atakuwa amekuwa amelipwa hela.

Huu ujinga umeshika kasi sana,wakati mwingine tunaitikia tu kwakuwa ndivyo mnavyoamini hivyo, hiyo serikali ina pesa kiasi gani ya kumlipa kila mtu? Je kuna usalama kiasi gani wa kuonana na mtu au kuwasiliana nae au kumpa namba yako ya simu akuingizie hela.

Jiulize we binafsi hivi kwa mazingira haya unaweza tu kushirikiana na mtu kupush ajenda yake bila kumjua ana malengo gani,je kama ni watu wasiojulikana unaweza tu kuongea nae akakuahidi kukupa hela kuisapoti Ccm au Serikali?

Jibu ni hapana,sasa inakuwaje kila mtu anayetofautiana na nyinyi kifikra basi awe amelipwa na CCM au Serikali?

Ebu tumieni akili hata hizo za kuvukia barabara,kuna wengine wanazo kama hizo na zinawasaidi kureason baadhi ya mambo fulani fulani katika maisha yao ya kila siku

Mwisho kama kila anayesapoti amani na utulivu wa nchi hii ni chawa basi mimi nitakuwa The big Chawa and am Okey with that, do you have a problem with that?

Ni hayo tu!
Tulia upigwe ndizi utumbo
 
Adolf Hitler, Indian Amin, Mobutu, Sani Abacha, Pinochet, Pol pot, Makaburu na wengine wengi walikuwa na wafuasi wao, machawa na watetezi, haishangazi nyie kuwa upande wa giza wa watekaji, wauaji na wafiraji kwa kulipwa, udini na hata mapenzi yenu binafsi
Nyie wazee wa miaka 50-60-70 je nyie hamtaki mabadiliko?

Kama Mmnataka mbona hautoki kuandamana au kuruhusu watoto wako

Unafikiri kila Kijana ni mjinga Mimi kiumri nishawaambia nipo huo umri wa GEN Z Ila hauwezi kuniingiza king kwa

Na lazima tusambaze awareness kuokoa hiki kizazi
 
Kuna vitu huwa vinarahusu kuwe na mitazamo kinzani(debate) na kuna vitu huwa ni one- sided.

Mtu anakwambia flani kaua with tangible evidence wewe unatokea kukanusha(ukaitwa chawa kwa mazingira haya utakataa)

Mtu anakwambia 1+1 =2(unabisha unaanza kuleta mitazamo tofauti,ukaitwa mpumbavu utabisha)

Hiko hivi kuna mada zinakuwa zinasimamia ukweli.Maana yangu ni kwamba mpaka mtu kutoa hitimisho kwa kile alichokileta anakuwa na premises zinazo back up madai yake(mnaoitwa chawa hiki hamuwezi)

Mnachoweza ni kudump tu taarifa ambazo katika logic zina mapungufu kibao.
 
Back
Top Bottom