Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Chawa ni kamdudu kanakokaa sehemu chafu ili kapate ulaji, kama unatetea uchafu wowote ule wewe ni CHAWA! ​
MTU ANAPOLETA HOJA , UNABIDI KUJIKITA KATIKA HOJA ZAKE NA SIO KUJIKITA KATIKA HUYO MTU .

KOSA KUBWA AMBALO LIMESABABISHA KIFO CHA CHADEMA NA KUSHINDWA KUWA RELEVANT NI UWEZO WA KUJADILI HOJA .

LEO HII IKILETWA HOJA NA LUCAS MWASHAMBWA , KWAKUWA YEYE NI CCM BASI HOJA YAKE HAITOJADILIWA ILA ATAJADILIWA MTU .

HILI NI KOSA LA UNAFSI
 
Una uhakika CHADEMA imekufa? Unadhani ingekuwa imekufa ingekuwa midomoni mwako leo? Tuache kujifariji kwa kujijaza uongo, chama hakifi kwa kusumbua na kufunga viongozi wake. Tena hiyo unadhihirisha ukubwa na uhai wa chama husika.

Chama unachosema kimeshindwa kuwa relevant ndio hiki ambacho serikali inatumia polisi kushindana nacho? Kwanza huo u relevant ni kwa watu gani? Wananchi au nyie machawa?

Mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini siwezi kuwa mnafiki na kujidanganya eti CHADEMA imekufa!
​
 
Ni kweli maigizo hayawezi kuleta taharuki
Kwahiyo maoni yako ni tuendelee na maigizo sio?!
Vijana mnashibishwa uchochezi mitandaoni badala ya kujaza vichwa vyenu habari chanya za kimaendeleo.

Hii nchi kwa mtu mjanja na mwenye mawazo kichwani akiwa na mwili wenye nguvu imejaa kila aina ya fursa.
 
Jibu nilichokuuliza pimbi wee
unanipa ushauri mimi we km nani?
nimekuuliza je tuendelee na maigizo yasilete taharuki?

Pimbi wee unaniita mimi kijana?!
 
Jibu nilichokuuliza pimbi wee
unanipa ushauri mimi we km nani?
nimekuuliza je tuendelee na maigizo yasilete taharuki?

Pimbi wee unaniita mimi kijana?!
Upeo wako ndio unaona maigizo yale yanayofanyika. CCM inaendelea kutimiza ahadi zote zilizomo kwenye ilani ya uchaguzi. Msipoangalia mtaishia kuandaa maandamano yanayoanzia na kumalizikia katika kurasa za instagram.
 
Chawa km wewe uvccm unapenda maigizo
hampendi uhalisia mpaka sasa hamjui sababu ya maandamano?

Tusichoshane nipo kula gambe hapa kitaa
Wee endelea na upimbi wako kiazi wee!
 
Chawa km wewe uvccm unapenda maigizo
hampendi uhalisia mpaka sasa hamjui sababu ya maandamano?

Tusichoshane nipo kula gambe hapa kitaa
Wee endelea na upimbi wako kiazi wee!
Nimeshaingia kwenye umri mkubwa kuliko hao vijana wa uvccm. Hapakuwa na maandamano ule ulikuwa uasi wa kimya kimya wenye lengo la kumuondoa Samia madarakani.
 
Nyie majamaa mnazingua sehemu moja. Hamsikilizi watu wanataka nini.

Watu wanataka utawala bora. Mkitaka muwashawishi kuhusu amani waelezeni hiyo amani italeta vipi utawala bora au kama itapatikana sambamba na utawala bora.
Huo utawala Bora umepotea lini tz!?..na mnataka utawala wa Bora wa aina gani?
 
Back
Top Bottom