Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Walau tumepata mtu ambaye anatushughulisha kutokana na hoja Zale

Vijana mnao tukana mna la kujifunza kutoka kwa your home boy

Kwanza umesema huna shida na maandamano maadamu yamefuata utaratibu, safi sana unajitambua, na hilo ndio mabalozi wa amani tunalisisitiza siku zote hapa

Tuje kwenye hoja yako kwamba,kwa nini jeshi lilingia mtaani badala ya polisi ambao ndio Kazi yao ya kulinda raia na mali zao, na ukaweza uzito kwa hoja kwamba inaashia kuhusika kwa jeshi kuhamasisha maandamano

Let me break this for you home boy

Raisi wa jamhuri ya Tanzania mama Samia wakati uchaguzi unakaribia alisema "jeshi liwe tayar kwa uchaguzi:

Je unadhani ilikuwa. Just a statement ,hapana neno la amiri jeshi mkuu ni amri,kwahiyo wanajeshi waliingia mtaani kufuata maagizo ya Amir mkuu

Kwahiyo hoja yako kuhusu kwamba wanajeshi walihamasisha maandamano kwa njia hiyo sio sahihi

Are you following brother?
Labda tu nikuweke wazi;wakati jeshi la wananchi wanapita hiyo siku Geita maisha yalikuwa bado yako vizuri watu hawana habari na maandamano.

Hao jamaa walipita na kuwapa ishara za kwamba vipi nyie mbona mmepoa;matokeo yake raia wakapata mizuka yao na kilichofata misiba.

Angalia issue ilivyokuwa Dar kabla ya saa tano,then compare na muda uliofuata baada ya JW kuingia barabarani(ni kama walikuwa wanawapa hope wananchi kwamba;we're here,go and do your things)

Sitaki nikueleze habari za Mwanza na kilichotokea kwenye kituo cha kusambaza hii mitungi ya gesi ya kupikia majumbani(inabaki kuwa nilisikia lakini waliokuwepo wanakwambia ni hao JW ndio walikuwa wanafanya motivation)

Mange yupo Marekani,huyu mtoto wa Sarungi yupo sijui Kenya;role yao hapa ni hipi?kutoa taarifa tu?(huu unaweza kuita mchango wa moja kwa moja kwa kilichotokea? unasahau watu waliokuwa field siku hiyo.)

Na kwanini rais atoe alert kabla ya siku ya kupiga kura kwamba jeshi liwe tayari?alikuwa anakusuduia kuchafua hali ya hewa?alikuwa na taarifa kamili kitakachotokea? Au alikuwa na nini?ndio maana nadharia zinazosema huyu rais alikuwa analipiza kisasi kwa kilichotokea Zanzibar kuna muda nazielewa.
 
Umeajaribu angalau kuandika kitu

ila ukweli unajulikana na UPO wazi kuwa kitendo cha kuhamasisha taarifa za uongo ndo kilipelekea vijana kuwa na morali ya kutoka hiyo 29/10

Ushahidi huu hapa
Huyu jamaa nimemkubali sana ana hoja na mstaarabu na anajitambua,hawa watu binafsi napenda kubattle nao

Well dona Seth saint
 
Labda tu nikuweke wazi;wakati jeshi la wananchi wanapita hiyo siku Geita maisha yalikuwa bado yako vizuri watu hawana habari na maandamano.

Hao jamaa walipita na kuwapa ishara za kwamba vipi nyie mbona mmepoa;matokeo yake raia wakapata mizuka yao na kilichofata misiba.

Angalia issue ilivyokuwa Dar kabla ya saa tano,then compare na muda uliofuata baada ya JW kuingia barabarani(ni kama walikuwa wanawapa hope wananchi kwamba;we're here,go and do your things)

Sitaki nikueleze habari za Mwanza na kilichotokea kwenye kituo cha kusambaza hii mitungi ya gesi ya kupikia majumbani(inabaki kuwa nilisikia lakini waliokuwepo wanakwambia ni hao JW ndio walikuwa wanafanya motivation)

Mange yupo Marekani,huyu mtoto wa Sarungi yupo sijui Kenya;role yao hapa ni hipi?kutoa taarifa tu?(huu unaweza kuita mchango wa moja kwa moja kwa kilichotokea? unasahau watu waliokuwa field siku hiyo.)

Na kwanini rais atoe alert kabla ya siku ya kupiga kura kwamba jeshi liwe tayari?alikuwa anakusuduia kuchafua hali ya hewa?alikuwa na taarifa kamili kitakachotokea? Au alikuwa na nini?ndio maana nadharia zinazosema huyu rais alikuwa analipiza kisasi kwa kilichotokea Zanzibar kuna muda nazielewa.

Wewe haujatofautiana Sana na hawa NYUMBU wa JF Ila wewe ni kuwa unajaribu kuelezea hisia taratibu .

Shida kubwa ya hili jukwaa lina watu Ambao uwezo wa kufanya reasoning ni mdogo Mno.

Issue ya mauji ya 29/10 haikusabishwa na JESHI kusema jeshi lilisababisha ni kuandika uongo ambao hauna mantiki.

SSH alitoa tadhari kuwa akutakuwa na nyinywi , kumbuka SSH ndo boss wa majeshi yote .

Sasa Kama wananchi unaweza ukashindwa kumuamini SSH Ila ukawaami wanajeshi ambao mmekutana Field ?

Kwahiyo tutaendelea kuwalaumu activist na sio jeshi .

Jeshi lilitoa taarifa yake mapema kuelekea 29/10 kuwa halitasapoti Vurugu zozote wala maandamano

Taarifa ya SSH ndo taarifa ya jeshi

Kwahiyo SSH akiongea jambo usifikiri anaongea bure anakuwa anamaanisha.
 
Walau tumepata mtu ambaye anatushughulisha kutokana na hoja Zale

Vijana mnao tukana mna la kujifunza kutoka kwa your home boy

Kwanza umesema huna shida na maandamano maadamu yamefuata utaratibu, safi sana unajitambua, na hilo ndio mabalozi wa amani tunalisisitiza siku zote hapa

Tuje kwenye hoja yako kwamba,kwa nini jeshi lilingia mtaani badala ya polisi ambao ndio Kazi yao ya kulinda raia na mali zao, na ukaweza uzito kwa hoja kwamba inaashia kuhusika kwa jeshi kuhamasisha maandamano

Let me break this

Bwashee kwanza tulifikir umekufa kwenye maandamano,bado kidogo nianzishe mchango wa rambi rambi

Hatukatai mauaji yamefanyika,hatukatai nguvu kubwa imetumka na tunalaani kwa nguvu zote

Lakini je yale ýalikuwa ni maandamano ebu tuanzie hapa kwanza?
Kabla hata ya maandamano ndugu zetu walitekwa na kupotezwa kwa mamia bila hata juhudi zozote za kufuatilia walipo na waliouwawa waliouwawa na nani na hatua ni zipi!

Kabla hata ya maandamano hakukua na amani ambayo unaitetea hapa
 
Wewe haujatofautiana Sana na hawa NYUMBU wa JF Ila wewe ni kuwa unajaribu kuelezea hisia taratibu .

Shida kubwa ya hili jukwaa lina watu Ambao uwezo wa kufanya reasoning ni mdogo Mno.

Issue ya mauji ya 29/10 haikusabishwa na JESHI kusema jeshi lilisababisha ni kuandika uongo ambao hauna mantiki.

SSH alitoa tadhari kuwa akutakuwa na nyinywi , kumbuka SSH ndo boss wa majeshi yote .

Sasa Kama wananchi unaweza ukashindwa kumuamini SSH Ila ukawaami wanajeshi ambao mmekutana Field ?

Kwahiyo tutaendelea kuwalaumu activist na sio jeshi .

Jeshi lilitoa taarifa yake mapema kuelekea 29/10 kuwa halitasapoti Vurugu zozote wala maandamano

Taarifa ya SSH ndo taarifa ya jeshi

Kwahiyo SSH akiongea jambo usifikiri anaongea bure anakuwa anamaanisha.
Babu ee uwe unasoma unaelewa vitu.Usiwe mwepesi wa kufanya conclusion bila kujua kinachosemwa otherwise ntakutukana pia usidhani matusi sijui

Hapa mimi naongelea kuhusika kwa jeshi(mainly JWTZ)kama unavyosema hao wanaharakati.

We unataka raia wamwamini Samia kwa lipi?(Samia kauli yake inapokewa jeshini tu kama amri lakini kwa raia wana haki ya ku-question chochote kile atakachosema.Ndio maana kuna vitu mnaita sijui freedom of choice,freedom of speech na hizo vitu vingine mnaita human rights).

Ujue una matatizo sana;unasema jeshi halikuhusika kwenye vifo vya raia si ndio?(nani anamiliki bunduki hapa Tanzania kama sio jeshi la polisi na majeshi mengine yaliyotajwa kwenye katiba)

Raia wanaomiliki bunduki vibali huwa anatoa nani?.Hakuna sehemu nilisema JW waliua watu(nilisema wana mchango mkubwa wakuhamasisha watu watoke wafanye waliyofanya).Nilikuwa Geita siku hiyo naongea ninachokijua sileti habari za hisia hapa.
 
Msije kurudia kufanya huu mchezo wa kucheza na Maisha ya VIJANA

Mimi Haya Land - au HOV I'm the different person

Nikisema NO ni NO you can't do anything.

MAANDAMANO NDO BASI
Nimekuuliza, kwa akili gani ulizonazo mkuu?
 
Labda tu nikuweke wazi;wakati jeshi la wananchi wanapita hiyo siku Geita maisha yalikuwa bado yako vizuri watu hawana habari na maandamano.

Hao jamaa walipita na kuwapa ishara za kwamba vipi nyie mbona mmepoa;matokeo yake raia wakapata mizuka yao na kilichofata misiba.

Angalia issue ilivyokuwa Dar kabla ya saa tano,then compare na muda uliofuata baada ya JW kuingia barabarani(ni kama walikuwa wanawapa hope wananchi kwamba;we're here,go and do your things)

Sitaki nikueleze habari za Mwanza na kilichotokea kwenye kituo cha kusambaza hii mitungi ya gesi ya kupikia majumbani(inabaki kuwa nilisikia lakini waliokuwepo wanakwambia ni hao JW ndio walikuwa wanafanya motivation)

Mange yupo Marekani,huyu mtoto wa Sarungi yupo sijui Kenya;role yao hapa ni hipi?kutoa taarifa tu?(huu unaweza kuita mchango wa moja kwa moja kwa kilichotokea? unasahau watu waliokuwa field siku hiyo.)

Na kwanini rais atoe alert kabla ya siku ya kupiga kura kwamba jeshi liwe tayari?alikuwa anakusuduia kuchafua hali ya hewa?alikuwa na taarifa kamili kitakachotokea? Au alikuwa na nini?ndio maana nadharia zinazosema huyu rais alikuwa analipiza kisasi kwa kilichotokea Zanzibar kuna muda nazielewa.
Kwanza my brother ujue kitu kimoja kama ulikuwa unachukulia poa mitandao, basi kuanzia sasa ujue sasa hivi duniani kote mitandao ndio nyenzo ya kuchochea mabadiliko,hii inatokana na upatikanaji wa taarifa haraka

Ndio maana Serikali ikiona mambo magumu au hayaeleweki fasta wanazima internet

Kwahiyo internet is very powerful tool ya kuhabarishana,kuhamasishana

Tuje kwenye kiini cha tatizo, umekiri kwamba wananchi walikuwa poa hawana hili wala mpaka pale masoja waliooonekana mtaani

Iko hivi wananchi walikuwa na taarifa zote za sapoti toka kwa wanajeshi kupitia hao akina dada,kwahiyo waivyowaona masoja wakaona yap kumbe kweli wajeda wapo kamili kuikomboa nchi

Lakini ukweli ni kwamba mambo yalikuwa kinyume kabisa na walivyoaminishwa,to prove this,kama kweli wanajeshi walikuwa tayar kuwasapoti wananchi na baada ya vijana kutoka kwànini hawakufanya chochote kuirudisha Tanganyika?

Are you following home boy?

Hoja kwamba Mama Samia kwanini alisema kauli hiyo kabla ya uchaguzi je alijua nini kitatokea??

Dola ina mifumo ya kupata taarifa zote ambazo zinatokea hapa nchini,kwahiyo AMIRI JESHI MKUU alikuwa well informed kwa kila kitu

Are you following brother?
 
Wewe haujatofautiana Sana na hawa NYUMBU wa JF Ila wewe ni kuwa unajaribu kuelezea hisia taratibu .

Shida kubwa ya hili jukwaa lina watu Ambao uwezo wa kufanya reasoning ni mdogo Mno.

Issue ya mauji ya 29/10 haikusabishwa na JESHI kusema jeshi lilisababisha ni kuandika uongo ambao hauna mantiki.

SSH alitoa tadhari kuwa akutakuwa na nyinywi , kumbuka SSH ndo boss wa majeshi yote .

Sasa Kama wananchi unaweza ukashindwa kumuamini SSH Ila ukawaami wanajeshi ambao mmekutana Field ?

Kwahiyo tutaendelea kuwalaumu activist na sio jeshi .

Jeshi lilitoa taarifa yake mapema kuelekea 29/10 kuwa halitasapoti Vurugu zozote wala maandamano

Taarifa ya SSH ndo taarifa ya jeshi

Kwahiyo SSH akiongea jambo usifikiri anaongea bure anakuwa anamaanisha.
fact
 
Kabla hata ya maandamano ndugu zetu walitekwa na kupotezwa kwa mamia bila hata juhudi zozote za kufuatilia walipo na waliouwawa waliouwawa na nani na hatua ni zipi!

Kabla hata ya maandamano hakukua na amani ambayo unaitetea hapa
Bwashee,

Sote tunajua kwamba utekaji ulikuwepo na bado upo

Pamoja na hayo bado huwezi kùsema hii nchi haina amani

Hatuna vita za wenyewe kwa wenyewe,hatuna fujo au vurugu mpaka kutufanya tuwe wakimbizi au kushindwa kufanya shughuli zetu za kila siku

Tuna amani huo ndio ukweli labda itategèmeaña kwenu nyinyi mnaitafsir vipi amani
 
Na polisi huwa wanatoa vibali au sio?

Polisi wa nchi gani hao hata pgo hawaijui..
Wakupaje kibali cha kuandamama km ukikosoa tu bi chura unatekwa?

Wee ni chawa pimbi bog....
Je mliomba kibari mkanyimwa??
 
Bwashee,

Sote tunajua kwamba utekaji ulikuwepo na bado upo

Pamoja na hayo bado huwezi kùsema hii nchi haina amani

Hatuna vita za wenyewe kwa wenyewe,hatuna fujo au vurugu mpaka kutufanya tuwe wakimbizi au kushindwa kufanya shughuli zetu za kila siku

Tuna amani huo ndio ukweli labda itategèmeaña kwenu nyinyi mnaitafsir vipi amani
Utekaji na watu kukutwa wameuawa ndio amani?
 
Tunapozunguzia amani kwa muktadha wa amani hatuzungumzii kwa matukio machache ambayo yanajulikana kabisa ukifanya hivi matokeo yake ni haya

Inajulikana ukiropoka kuhusu serikali unatekwa,sasa hayo matukio ya mtu binafsi kuhatarisha maisha yake

Lakini tunapo zungumzia amani ya nchi basi tunazungumzia kwa ujumla wake hakuna vita ya wenyewe kwa wenyewe,watu wanaendelea na shuguili zao uchumi kama kawaida ,na hakuna fujo na vurugu kwa kiasi ambacho maisha yakashimdwa kuendelea kama mfano yalipo simama baada kipindi cha lockdown
 
View attachment 3519938

My people,​

​

Kumekuwa na uelewa mbaya au upotoshaji wa makusudi kuonyesha jamii kwamba sisi watetezi wa amani, tunafurahia Mauji yaliyotokea 29 Oct 25

Guys hivi kweli hata kwa akili tu ya kawaida mnawezaje kuwatuhumu watu jambo kama hili? Hivi mnaamini kwamba tumekosa utu kiasi hiki?

Hapana mnatukosea sana,hata kama mmekosa hoja baada ya kuwapiga spana za kutosha lakini hiyo ni tuhuma mbaya sana,hawa ni ndugu zetu na watanzania wenzetu hatuwezi katu kufikia hiyo stage

Hata pale tunapo sema kwamba ilikuwa move mbaya in the first place kuandamana bado haimaanishi kwamba tunafurahia yale yalitokea

Pili, tunatagiwa kwa hoja za kipuuzi sana, kwani ni nani amesema tunakataa umwagaji damu wa maelfu ya watu,nani amekataa kuwa Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwadhibiti waandamanaji?

Maana jinsi mnavyoandika mabandiko yenu kana kwamba mnatu tuhumu kuwa tumepinga au kukataa kwa mambo hayo kutokea,hayo yametokea na wote tunafahamu,kwahiyo muache kutupa tuhuma zisizo na msingi

Tatu,kuna uwongo ambao unasemwa semwa sana na mwisho wa siku unaaminika kwamba ni kweli, si kila mtu ambaye yupo upande tofauti na nyinyi au ana mtazamo tofauti na nyinyi basi atakuwa amekuwa amelipwa hela.

Huu ujinga umeshika kasi sana,wakati mwingine tunaitikia tu kwakuwa ndivyo mnavyoamini hivyo, hiyo serikali ina pesa kiasi gani ya kumlipa kila mtu? Je kuna usalama kiasi gani wa kuonana na mtu au kuwasiliana nae au kumpa namba yako ya simu akuingizie hela.

Jiulize we binafsi hivi kwa mazingira haya unaweza tu kushirikiana na mtu kupush ajenda yake bila kumjua ana malengo gani,je kama ni watu wasiojulikana unaweza tu kuongea nae akakuahidi kukupa hela kuisapoti Ccm au Serikali?

Jibu ni hapana,sasa inakuwaje kila mtu anayetofautiana na nyinyi kifikra basi awe amelipwa na CCM au Serikali?

Ebu tumieni akili hata hizo za kuvukia barabara,kuna wengine wanazo kama hizo na zinawasaidi kureason baadhi ya mambo fulani fulani katika maisha yao ya kila siku

Mwisho kama kila anayesapoti amani na utulivu wa nchi hii ni chawa basi mimi nitakuwa The big Chawa and am Okey with that, do you have a problem with that?

Ni hayo tu!
Chawa tulia unajiliza nini, wakati mnasema maandamano yalichangiwa na wanaharakati wanaolipwa? Kama kila anayewapinga mnasema kalipwa, ww unakataa vipi watu kuona kuwa mmelipwa kutetea majizi ya ya kura, na wauaji?

Si ww ulisema humu humu mtu akiwa mwanaharakati akitweka asilalamike! Sasa kama unaona sawa aliye tofauti na na ww ama serekali ya mauaji, ni kipi kinakulizza watu wakitofautiana na ww?
 
Hakuna ubishi wanaharakati wa fujo na vurugu wanalipwa na kufadhilwa na mabeberu, sasa kwakwa wao wanakipwa wanadhani nasi tunalipwa

mmebugi we do it for the love of our brothers and sisters
 
Sasa kama unakiri kwamba serikali ilitumia excessive force kwa kuua raia wake unnecessarily kwanini unasistiza kwamba amani ipo/ilikua mikononi mwa waandamanaji tu? Huoni kwamba serikali ingesimamia haki na kutumia busara visingetokea hivyo vifo wala hata hayo maandano? Pengine hata hao activists wangepuuzwa na vijana wasingeandamana. Halafu hebu tupe maoni yako kuhusu lini na vipi serikali itawajibika kwa mauaji yasiyo ya lazima. Kwa kifupi ni kwamba upo one sided na hapo ndipo unapofeli. Balance hoja yako ueleweke. Halafu kwanini una like comments za wenzio wanaowazushia na kuwatukana wakristo/wakatoliki?
 
Watu wa chadema na TEC wanaona wao ndio wenye hati miliki ya ukweli na haki

Ukionesha kwenda tofauti na fikra zao wanakuita chawa
 
Kingine humu watu wanalazimisha kusapotiana hata mtu muda mwingine yupo off point ila wanamsapoti bila hoja za msingi

Mijadala ya humu haitofautiani na magroup ya wajawazito kila mtu na shoga yake

Ukweli wa hiki kinachoitwa kupigania amani sio uchawa wala nini ukiangalia kwa ukaribu ni UOGA kutokana na vitisho mbalimbali

Na hawa wanaopambania HAKI pia kuna makona kona mengi sana ambayo ukiyazungumza unaitwa MDINI
 
Back
Top Bottom