Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Here you go again,kuna wakati huwa najiuliza sijui nyie wenzetu uzi unasama tofauti kwenye simu zenu

Tupo hapa kupigania hili tukio la kuandamana lisitokee tena na kuua maelfu au kujeruhi vijana wetu,halafu unakuja na tuhuma zile zile,mna shida pahala sio siri
Kwanini mnatumia nguvu kubwa kupinga maandamano ambayo ni haki kisheria na kikatiba?
 
Ok fine content yako hiko sawa lakini sikuwa nikijibu content yako(heading pekee imetosha kukupa jibu)

Wewe ni mtetezi wa amani hipi ambayo imepotea?Nani kapoteza hiyo amani? na unapotaka hiyo amani ilindwe inalindwa vipi?Nani alikwambia maandamano ni uvunjifu wa amani.Ni yupi mvunjifu wa amani kati ya mwenye bunduki anayefyatua risasi kwa raia au raia walioko majumbani na barabarani?

Kuna vitu hata kama una nia njema lazima usome muktadha unataka nini?Wakati huu tulionao ni busara kukaa kimya au ukiamua kufanya tofauti basi ukubali kila kitu.

Sio wewe tu kuna watu wanasema ni mabalozi wa amani kipindi hiki lakini ukiwauliza amani ambayo mnataka kuwa mabalozi wake inatokana na nini hawajui na inapotea vipi hawajui.Katika mazingira kama haya kutukanwa na kuitwa chawa ni kugusa tu
Kwa Tanzania ukiuliza kama watu wana furaha au wana amani??

Jibu ni kwamba watu hawana furaha kutokana na yaliyotokea,ila wana amani ya kutosha ambayo mabalozi wa amani wanaipigania isipotee

Je tunapozungumzia Amani,je tunazungumzia kwa muktadha gani?

Tunazungumzia kutokuwepo kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe,uhuru wa kufanya shughuli zetu kama kawaida [ refer to the lockdown ambapo tuliwekwa ndani na kushindwa kufanya shughuli zetu], kutokuwepo na fujo na vurugu kwa mapana yake

Leo mtu ukizungumzia kuwepo kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe anaweza kuona haiwezekani,chukulia kwamba kundi la vijana linapata silaha za moto na kwa akili zao za kuvuka barabara sijiui kama patakalika

Maandamano ya 29 Oct yametudhibitishia uvunjifu wa amani na vurugu,hakuna haja ya kufafanua sana

Na kwa aina ya maandamano ambayo hayafuati taratibu it is likely hiyo scenario ya fujo kutokea tena,kwahiyo sisi mabalozi wa amani tunaposimama kidete kuwapa vijana awareness tunajua hili jambo ni la kitaifa na muhimu sana

Unaonekana upo smart na kujenga hoja,ila usikurupuke next time kusoma heading tu kisha ukafikia tamati

Asante
 
Nadhani wanajua uhalisia na ukweli Ila ambacho walidhani ni kuwa kila MTU angesimama nao

Ukiangalia hizi week Mbili kuelekea 25D unaona walipoona wameshindwa hii game .

Walianza kampeni ya Ku-ignore I'd zenye mawazo mbadala

Hii ilikuwa ni dalili kuwa jamii imewakataa na kuwapuuza vibaya Sana .

Kwahiyo wanataka kusema kuwa sisi ndo tumeua movement yao ya 25D.

Sisi hatukuwazuia Ku-push Ajenda zao Ila tulisema wao wa -push na sisi tu-push na wanaanchi ndo wataamua .

In short hawa ni dhaifu Sana na sifikirii kama hawa wanavyodai mabadiliko wanaelewa maana yake.

Next time wasijaribu huu mchezo kwakuwa hii ligi hawaiwezi kabisa.

wamebaki kutukana na kuita watu MACHAWA.

Mimi mpaka Nanauka nawasiliana kila siku hii kitu ya kuokoa maisha ya vijna nipo nayo serious Sana

👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251224-184555_1766591301454.jpg
    Screenshot_20251224-184555_1766591301454.jpg
    73.6 KB · Views: 7
Mbona unawaza sana maandamano? kwani nani kakwambia kuna maandamano.

Kitu ambacho kila mtu hataki kusema ni kuwa; waliochochea maandamano ya tarehe 29 ni wanajeshi, tena hawa wa JWTZ.(ndio walikuwa mstari wa mbele kuwapa watu hamasa hata ambao hawakuwa na mpango na maandamano)

Huu ndio ukweli,asilaumiwe sijui Mange,mtoto wa Sarungi,bali mkuu wa majeshi lawama hizi ni zake kwa kusimamia jeshi hovyo na kukosekana nidhamu jeshini.Ninajua baadhi ya maeneo ambayo jeshi lilikuwa likipita tu nikuwapa mizuka watu ambao hata hawakuwa na mpango ni hivyo vitu.
Je ni kweli huwasikii vijana wakisema kuna Maandamano?

Je ni kweli watu hawapo huko tiktok wakijadili maandamano na mipango hao ya siri ya kuvunjia amani ya nchi hii?

Unaposema jeshi limetoa hamasa kwamba watu waandamane unamaanisha nini hapa?

Maana hata huyo Captain Tesha sikumsikia akisema wananchi muandamane nipo nyuma yenu, au kuna msemaje wa jeshi alisema labda mimi siku msikia?

Huwezi kuwaweka kando hao wanadada wawili katika fujo hizi,wao ndio vinara wa kutoa update jinsi jeshi lilivyokuwa tayar kutoa sapoti kwa wananchi,wao waliwapa hamasa wananchi kwamba tupambane tutoke kwa wingi kupambania Tanganyika yetu

Are you following brother?
 
Nadhani wanajua uhalisia na ukweli Ila ambacho walidhani ni kuwa kila MTU angesimama nao

Ukiangalia hizi week Mbili kuelekea 25D unaona walipoona wameshindwa hii game .

Walianza kampeni ya Ku-ignore I'd zenye mawazo mbadala

Hii ilikuwa ni dalili kuwa jamii imewakataa na kuwapuuza vibaya Sana .

Kwahiyo wanataka kusema kuwa sisi ndo tumeua movement yao ya 25D.

Sisi hatukuwazuia Ku-push Ajenda zao Ila tulisema wao wa -push na sisi tu-push na wanaanchi ndo wataamua .

In short hawa ni dhaifu Sana na sifikirii kama hawa wanavyodai mabadiliko wanaelewa maana yake.

Next time wasijaribu huu mchezo kwakuwa hii ligi hawaiwezi kabisa.

wamebaki kutukana na kuita watu MACHAWA.

Mimi mpaka Nanauka nawasiliana kila siku hii kitu ya kuokoa maisha ya vijna nipo nayo serious Sana

👇🏾
Dalili moja kubwa ya watu kushindwa hoja na kuleta blablah ni kutukana watu wasio wajua wala kuwafahamu

Kwanza ni wadhaifu emotionally wanashindwa kudhibiti hisia zao,je watu wa namna hii wanaweza kuandamana kwa amani??

Kiukweli kabisa mziki wetu ni Cd 200 hawauwezi kabisa

Wakae kimya au watupishe tuendelee kutoa awareness kwa vijana
 
Hakika.

Hii ni part one tu Ila wajue huu mziki hawauwezi na wanabidi kukaa mbali Sana
 
Je ni kweli huwasikii vijana wakisema kuna Maandamano?

Je ni kweli watu hawapo huko tiktok wakijadili maandamano na mipango hao ya siri ya kuvunjia amani ya nchi hii?

Unaposema jeshi limetoa hamasa kwamba watu waandamane unamaanisha nini hapa?

Maana hata huyo Captain Tesha sikumsikia akisema wananchi muandamane nipo nyuma yenu, au kuna msemaje wa jeshi alisema labda mimi siku msikia?

Huwezi kuwaweka kando hao wanadada wawili katika fujo hizi,wao ndio vinara wa kutoa update jinsi jeshi lilivyokuwa tayar kutoa sapoti kwa wananchi,wao waliwapa hamasa wananchi kwamba tupambane tutoke kwa wingi kupambania Tanganyika yetu

Are you following brother?
Ulibahatika kutoka nje hiyo tarehe 29 october?Kama ulitoka usingekuwa unauliza mchango wa jeshi kwenye haya maandamano na vurugu hizi.

Role ya Mange na Maria au wanaharakati wengine ni ndogo sana ukilinganisha na jeshi la wananchi.

Case study ni Geita:Watu siku hiyo walikuwa hawana habari zaidi ya kusikia tu sehemu zingine kuna maandamano.Ilikuja kupita gari ya jeshi unajua wanajeshi walikuwa wanafanyia nini raia?(sitaki nikueleze hapa sema wao wanajua upumbavu wao waliofanya)

Ukitaka kujua jeshi lina mchango mkubwa waulize kwanini waliingia mitaani hiyo siku na magari yao.Jibu la kisiasa linaweza kuwa kulinda raia(je, hii ndio kazi namba moja ya jeshi la wananchi?)

Sawa inawezekana ilikuwa kulinda raia.Je,jeshi la polisi kuna sehemu walisema wamezidiwa hiyo siku?(sikuona kitu kama hicho).Jeshi la polisi ndio lenye jukumu namba moja ya kulinda raia na mali zao(kama ni hivyo kwa nini JW sasa?)

Watu kupanga mitandaoni kuhusu maandamano sio big deal(hata hivyo katiba imebariki maandamano).Utaratibu ukifuatwa mimi sina shida na maandamano hata yangefanyika kila siku.Kuhusu kupanga mipango ya uvunjifu wa amani ndio maana mna jeshi la polisi ndio kazi zake na mnaowaita usalama wa taifa kitu kama hicho
 
Kwanini mnatumia nguvu kubwa kupinga maandamano ambayo ni haki kisheria na kikatiba?
Now you are talking home boy

Tunapinga maandamano haramu,yasiyofuta taratibu,ambayo ndio hayo yaliyopoteza wapendwa wetu

Ni kweli katiba inaruhusu maandamano,lakini hakuna haki bila wajibu

Wajibu wako kama mwananchi ni kufuata taratubu za maandamano

1. Kuandika kwa maandishi kibali cha kuomba kuandamana

2. Njia ambayo mtapita mkiandamana

3. Ujumbe wenu mnau wasilisha kwa nani

4. Kupewa ruhusa ya kuandamana

Are you following brother
 
Kwa Tanzania ukiuliza kama watu wana furaha au wana amani??

Jibu ni kwamba watu hawana furaha kutokana na yaliyotokea,ila wana amani ya kutosha ambayo mabalozi wa amani wanaipigania isipotee

Je tunapozungumzia Amani,je tunazungumzia kwa muktadha gani?

Tunazungumzia kutokuwepo kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe,uhuru wa kufanya shughuli zetu kama kawaida [ refer to the lockdown ambapo tuliwekwa ndani na kushindwa kufanya shughuli zetu], kutokuwepo na fujo na vurugu kwa mapana yake

Leo mtu ukizungumzia kuwepo kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe anaweza kuona haiwezekani,chukulia kwamba kundi la vijana linapata silaha za moto na kwa akili zao za kuvuka barabara sijiui kama patakalika

Maandamano ya 29 Oct yametudhibitishia uvunjifu wa amani na vurugu,hakuna haja ya kufafanua sana

Na kwa aina ya maandamano ambayo hayafuati taratibu it is likely hiyo scenario ya fujo kutokea tena,kwahiyo sisi mabalozi wa amani tunaposimama kidete kuwapa vijana awareness tunajua hili jambo ni la kitaifa na muhimu sana

Unaonekana upo smart na kujenga hoja,ila usikurupuke next time kusoma heading tu kisha ukafikia tamati

Asante
Watu waliandamana kudai haki zao aliefanya mauaji kwenye hayo maandamano yawepo ni Nan ? Na kwa sababu zip
 
Ni kweli kabisa wanoatetea huo uozo ni viazi na vilaza waliopata nafasi za kudondokea kipindi hiki , ninalo ndugu langu tumbo kama mfuko nalo ni KIAZI la mda mrefu Ila nilichawa
 
Ulibahatika kutoka nje hiyo tarehe 29 october?Kama ulitoka usingekuwa unauliza mchango wa jeshi kwenye haya maandamano na vurugu hizi.

Role ya Mange na Maria au wanaharakati wengine ni ndogo sana ukilinganisha na jeshi la wananchi.

Case study ni Geita:Watu siku hiyo walikuwa hawana habari zaidi ya kusikia tu sehemu zingine kuna maandamano.Ilikuja kupita gari ya jeshi unajua wanajeshi walikuwa wanafanyia nini raia?(sitaki nikueleze hapa sema wao wanajua upumbavu wao waliofanya)

Ukitaka kujua jeshi lina mchango mkubwa waulize kwanini waliingia mitaani hiyo siku na magari yao.Jibu la kisiasa linaweza kuwa kulinda raia(je, hii ndio kazi namba moja ya jeshi la wananchi?)

Sawa inawezekana ilikuwa kulinda raia.Je,jeshi la polisi kuna sehemu walisema wamezidiwa hiyo siku?(sikuona kitu kama hicho).Jeshi la polisi ndio lenye jukumu namba moja ya kulinda raia na mali zao(kama ni hivyo kwa nini JW sasa?)

Watu kupanga mitandaoni kuhusu maandamano sio big deal(hata hivyo katiba imebariki maandamano).Utaratibu ukifuatwa mimi sina shida na maandamano hata yangefanyika kila siku.Kuhusu kupanga mipango ya uvunjifu wa amani ndio maana mna jeshi la polisi ndio kazi zake na mnaowaita usalama wa taifa kitu kama hicho
Walau tumepata mtu ambaye anatushughulisha kutokana na hoja Zale

Vijana mnao tukana mna la kujifunza kutoka kwa your home boy

Kwanza umesema huna shida na maandamano maadamu yamefuata utaratibu, safi sana unajitambua, na hilo ndio mabalozi wa amani tunalisisitiza siku zote hapa

Tuje kwenye hoja yako kwamba,kwa nini jeshi lilingia mtaani badala ya polisi ambao ndio Kazi yao ya kulinda raia na mali zao, na ukaweza uzito kwa hoja kwamba inaashia kuhusika kwa jeshi kuhamasisha maandamano

Let me break this for you home boy

Raisi wa jamhuri ya Tanzania mama Samia wakati uchaguzi unakaribia alisema "jeshi liwe tayar kwa uchaguzi:

Je unadhani ilikuwa. Just a statement ,hapana neno la amiri jeshi mkuu ni amri,kwahiyo wanajeshi waliingia mtaani kufuata maagizo ya Amir mkuu

Kwahiyo hoja yako kuhusu kwamba wanajeshi walihamasisha maandamano kwa njia hiyo sio sahihi

Are you following brother?
 
Ulibahatika kutoka nje hiyo tarehe 29 october?Kama ulitoka usingekuwa unauliza mchango wa jeshi kwenye haya maandamano na vurugu hizi.

Role ya Mange na Maria au wanaharakati wengine ni ndogo sana ukilinganisha na jeshi la wananchi.

Case study ni Geita:Watu siku hiyo walikuwa hawana habari zaidi ya kusikia tu sehemu zingine kuna maandamano.Ilikuja kupita gari ya jeshi unajua wanajeshi walikuwa wanafanyia nini raia?(sitaki nikueleze hapa sema wao wanajua upumbavu wao waliofanya)

Ukitaka kujua jeshi lina mchango mkubwa waulize kwanini waliingia mitaani hiyo siku na magari yao.Jibu la kisiasa linaweza kuwa kulinda raia(je, hii ndio kazi namba moja ya jeshi la wananchi?)

Sawa inawezekana ilikuwa kulinda raia.Je,jeshi la polisi kuna sehemu walisema wamezidiwa hiyo siku?(sikuona kitu kama hicho).Jeshi la polisi ndio lenye jukumu namba moja ya kulinda raia na mali zao(kama ni hivyo kwa nini JW sasa?)

Watu kupanga mitandaoni kuhusu maandamano sio big deal(hata hivyo katiba imebariki maandamano).Utaratibu ukifuatwa mimi sina shida na maandamano hata yangefanyika kila siku.Kuhusu kupanga mipango ya uvunjifu wa amani ndio maana mna jeshi la polisi ndio kazi zake na mnaowaita usalama wa taifa kitu kama hicho
Umeajaribu angalau kuandika kitu

ila ukweli unajulikana na UPO wazi kuwa kitendo cha kuhamasisha taarifa za uongo ndo kilipelekea vijana kuwa na morali ya kutoka hiyo 29/10

Ushahidi huu hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766294821428.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766294821428.jpg
    372.1 KB · Views: 13
Watu waliandamana kudai haki zao aliefanya mauaji kwenye hayo maandamano yawepo ni Nan ? Na kwa sababu zip
Bwashee kwanza tulifikir umekufa kwenye maandamano,bado kidogo nianzishe mchango wa rambi rambi

Hatukatai mauaji yamefanyika,hatukatai nguvu kubwa imetumka na tunalaani kwa nguvu zote

Lakini je yale ýalikuwa ni maandamano ebu tuanzie hapa kwanza?
 
Now you are talking home boy

Tunapinga maandamano haramu,yasiyofuta taratibu,ambayo ndio hayo yaliyopoteza wapendwa wetu

Ni kweli katiba inaruhusu maandamano,lakini hakuna haki bila wajibu

Wajibu wako kama mwananchi ni kufuata taratubu za maandamano

1. Kuandika kwa maandishi kibali cha kuomba kuandamana

2. Njia ambayo mtapita mkiandamana

3. Ujumbe wenu mnau wasilisha kwa nani

4. Kupewa ruhusa ya kuandamana

Are you following brother
Na polisi huwa wanatoa vibali au sio?

Polisi wa nchi gani hao hata pgo hawaijui..
Wakupaje kibali cha kuandamama km ukikosoa tu bi chura unatekwa?

Wee ni chawa pimbi bog....
 
Back
Top Bottom