Ifike wakati, huu uchawa wa kumsifia Rais Samia uwe na staha. This is too much

Ndiyo maana hatuoni Mabango huko barabarani yakionesha kwamba amefanya kile...

Amefanya hiki....

Kumbe Mama naye hapendi kujisifu/kusifiwa 🙌
1747033920837.jpeg
 
Ndiyo maana hatuoni Mabango huko barabarani yakionesha kwamba amefanya kile...

Amefanya hiki....

Kumbe Mama naye hapendi kujisifu/kusifiwa 🙌
Hahaha, una phd ya unafiki.
 
Back
Top Bottom