Ifike wakati, huu uchawa wa kumsifia Rais Samia uwe na staha. This is too much

Ifike wakati, huu uchawa wa kumsifia Rais Samia uwe na staha. This is too much

Siasa unazijua!?ukiona unasifiwa kuliko kipimo ujue ndio umeharibu zaidi!ukiona unalalamikiwa ujue upo sahihi mno!!

Mapambio ni kichaka Cha kukumaliza kabisaaa!!ogopa chawa wanapokusifu ndio wanakuharibia!!
 
Binafsi tunamshukuru mama kwa wewe mleta siredi humu jukwaani
 
CCM mwenye akili timamu Warioba peke yake.
Kweli hebu muangalie pembeni yake Mzee wa hovyo Malecela, huwezi kumsikia akikemea wala kushauri chochote positively kuhusu mustakabali wa nchi yeti.
Naunga mkono hoja mwenye akili timamu CCM ni Warioba peke yake
 
Siasa unazijua!?ukiona unasifiwa kuliko kipimo ujue ndio umeharibu zaidi!ukiona unalalamikiwa ujue upo sahihi mno!!

Mapambio ni kichaka Cha kukumaliza kabisaaa!!ogopa chawa wanapokusifu ndio wanakuharibia!!
Mwenyewe anaona sifa. Anachekelea akijiona yeye ni bora kuliko waliopita.
 
Hawa jamaa hawana msiba wala sherehe kila sehemu kwao ni Kampeni sio mchezo
 
Yaani huwa inashangaza kiukweli, unasema hawa watu wamerukwa na AKILI or wanalazimishwa na aliyewateua??..AIBU
 
Back
Top Bottom