mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Kwelli kabisa maana ata mvua ikinyesha eti anasifiwa raisYani hata msibani mnadiriki kummithilisha mama na marehemu.
Kwelli kabisa maana ata mvua ikinyesha eti anasifiwa raisYani hata msibani mnadiriki kummithilisha mama na marehemu.
Mimi binafsi namshukuru sana Rais Samia kwani tangu amekuwa Rais mvua huku kwetu zinanyesha kwa uwiano mzuri na mazao yanapatikana. Hii inaashiria, Urais wake umekubalika na kwa Mungu pia!Yani hata msibani mnadiriki kummithilisha mama na marehemu.
Naamini kwa wale tusiowasikia ila wapo karibu yake watakuwa wanasifia mpaka ushuzi wake.Kwelli kabisa maana ata mvua ikinyesha eti anasifiwa rais
Kila mtu ana uhuru wake, mbn huwazungumzii wanaomtukana kila siku? Km unaumia kameze wembe ww nyumbu. Samia anastahili kusifiwaYani hata msibani mnadiriki kummithilisha mama na marehemu.
Nyumbu bi mkubwa wako alieacha kumeza P2 kupelekea kima moja kama wewe kuzaliwa kuja kutukana watu usiowajuaKila mtu ana uhuru wake, mbn huwazungumzii wanaomtukana kila siku? Km unaumia kameze wembe ww nyumbu. Samia anastahili kusifiwa
Moja ya tapeli katika nchi hii ni hili lijamaa. Matapeli yapo hivyo kusifia sifia tu hata kwenye sehemu zisizo husikaYani hata msibani mnadiriki kummithilisha mama na marehemu.