Nakerwa na mafuta ya nywele anayotumia mke wangu

Nakerwa na mafuta ya nywele anayotumia mke wangu

Nina wasiwasi kinachokukera kwenye nywele za mpenzi wako ni harufu ya uvundo wa joto na si mafuta. mshauri aoshe nywele mara kwa mara
 
ha ha ha wanasema kama mme/mke toka mwanzo alikuwa anakoroma usiku na unaona sawa, siku ukianza kuona hilo ni tatizo basi ujue mapenzi yameisha!!

Jamaa awe mkweli, je tatizo ni harufu tu!?

ni hilo tuu jaman
sina ubaya na mwenzangu nataka udhauri kuhusu hili
 
Hugo make ulipewa bure au ulisusiwa mpk unamuogopa kumpa makavu live?!
 
Laleni mzungu wa pili au mwambie awe anasuka mtindo wa "utii wa rhoda.
 
kama minywele yao inasababisha harufu inayokera basi wapigwee tu maana hamna jinsi!!!!!
 
Kwani nywele zake katengenezaje..........?........kama ni weave basi hajaosha........
Hakuna nywele zinaziitwa weave , weave ni tafsiri ya kusuka , labda ukili , au Uzi , na kama kichwani ni kusuka Nywele halali na bandia , kwa uhalisia mnacho ita weave ni Nywele bandia harufu tupu
 
Mpe hela awe anaosha nywele hizo. Hakuna mafuta yanayonuka, nusa kopo ujiridhishe. Hilo ni jasho na labda kujitunza anashindwa. Nywele lazima zioshwe walau mara moja kwa wiki.
 
Hakuna nywele zinaziitwa weave , weave ni tafsiri ya kusuka , labda ukili , au Uzi , na kama kichwani ni kusuka Nywele halali na bandia , kwa uhalisia mnacho ita weave ni Nywele bandia harufu tupu

Vyovyote iwavyo........ila asante kwa kunielewesha.........ila mwisho wa siku ni kwamba wifi yetu huyo hajaosha nywele.........
 
Fanya replacement kwa kuangalia vigezi vyako full stop
 
Wasiwasi wangu pengine si madawa bali ni uchafu tu hajaosha nywele mda mrefu, kama nywele ni chafu lazima zinuke sasa ukipaka na mafuta unaweza tengeneza harufu ya ajabu hatari.

Ila kama kweli ni mafuta tu basi tatizo dogo hilo ni kumueleza abadili aina ya mafuta tu, wewe ndo mwanaume, ukiwa muoga hata ukipewa ushauri hapa hautokusaidia kitu
 
mnunulie unayoyapenda acha ubahili

nilishawahi mnunulia nikaambiwa mafuta gani yanatoa harufu kama gongo, nilichokaje!! chochote ninachomnunulia lazima akikosoe, ila akinunua yeye hata ukichukie hana time, akina dada aisee ni shiida, nilishaacha kabisa mnunulia chochote, anachotaka nampa pesa anaenda nunua mwenyewe
 
Suala la wanandoa kutoambiana likes/dislikes ndo chanzo kikubwa cha mifarakano ndani ya ndoa,
Make sure haulali umekereka na ukifurahishwa na mwenzio make sure unamwambia how much umependezwa na alichokifanya
 
Mwambie aache kama unaona ni mzigo

inaonekana mke wake ni mbabe wengine ukiwaambia waache ndani hakulaliki, hawa wakiwa ndani huwa wanakubwa wababe mno, woga utawakuta nje na sio ndani, hata ukute mwembamba ka msumari wa bati, mziki wake akiwa kwake ni shiiiiida
 
Back
Top Bottom