trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Habari za leo. Napita tu.Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.
Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva fulani kijana aliyemzoea...
Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi.. Mpaka nakerwa driver yule anapokuja..
Nimemuuliza kama wana mahusiano,akaruka kimanga kwamba hana!
Ila naomba muelewe kuwa mi niko "single",yeye ana mahusiano,nayoweza kuyaita ya kudumu,na vilevile tunapenda kupeana "company"...
Je,ni tatizo la ajabu?
Ama la kawaida?
Ama vipi?
Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.

Njo ufanyiwe maombezi... Njo uombewe.
Mhh, nimerudi baada ya kumwona Husninyo. Ujambo bibie. Nimerudi kukusalimu tu. Nilikuwa napita.
Habari za leo. Napita tu.

Miye namshukuru Mungu mzima wa afya. Nilipita jukwaani kupumzisha akili baada ya akili kuchoshwa na habari MKANGANYIKO za Arumeru.waoooh! Ahsante jamani. Mzima wewe? Mi sijambo.
Samahani trach tunachakachua kidogo.
Njo ufanyiwe maombezi... Njo uombewe.
uko darasa la ngapi la mapenzi?
Wewe bwana mdogo unajifunza mapenzi nini!!!! Jambo unalouliza ni la kipuuzi tu. Ndiyo maana wengine wamekujibu kwamba wanapita tu.Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.
Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva fulani kijana aliyemzoea...
Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi.. Mpaka nakerwa driver yule anapokuja..
Nimemuuliza kama wana mahusiano,akaruka kimanga kwamba hana!
Ila naomba muelewe kuwa mi niko "single",yeye ana mahusiano,nayoweza kuyaita ya kudumu,na vilevile tunapenda kupeana "company"...
Je,ni tatizo la ajabu?
Ama la kawaida?
Ama vipi?
Mhh, nimerudi baada ya kumwona Husninyo. Ujambo bibie. Nimerudi kukusalimu tu. Nilikuwa napita.
Ptuuuuu, upuuzi tu! Ndiyo tatizo la jf vitoto vidogo vinajumuika na wakubwa.Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine.
Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva fulani kijana aliyemzoea...
Amekuwa akifanya hivyo mara nyingi.. Mpaka nakerwa driver yule anapokuja..
Nimemuuliza kama wana mahusiano,akaruka kimanga kwamba hana!
Ila naomba muelewe kuwa mi niko "single",yeye ana mahusiano,nayoweza kuyaita ya kudumu,na vilevile tunapenda kupeana "company"...
Je,ni tatizo la ajabu?
Ama la kawaida?
Ama vipi?
Miye namshukuru Mungu mzima wa afya. Nilipita jukwaani kupumzisha akili baada ya akili kuchoshwa na habari MKANGANYIKO za Arumeru.
waoooh! Ahsante jamani. Mzima wewe? Mi sijambo.
Samahani trach tunachakachua kidogo.
Kwani kunani Husninyo...
Mbona ushauri huo!
Kweli kabisa. Lile jukwaa ukikaa nusu saa tu utafura kwa hasira na BP juu. Bora huku.hee! Pole sana, usipende kufatilia sana hayo makitu. We penda mmu na chit chat. Siasa tupa kule.