nakesha jamani

nakesha jamani

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
161
ninaujauzito miez 7. tatizo nililonalo sipati usingizi hata kidogo si usiku wala mchana nifanyeje wadau.
 
pole sana ila tatizo analo pia wife wangu kwa sasa,ninachokifanya namchukua na mtembeza na miguu mpaka anachoka tukirudi home baada ya mda anahisi usingizi akisi usingizi namwamba alale kwa hiyo analala haijalishi ni mda gani,japo analalamika usiku bado usingizi hapati,ila bado ni ngumu muhimu vumilia kwa miezi iliyobaki
 
Fanya mazoezi kidogo kama kutembea, jitahidi unywe maji mengi mchana bila kujali trip za toilet oga kabla ya kuingia kitandani kuoga iwe activity yako ya mwisho. punguza vyakula vya sukari na caffeine
 
Back
Top Bottom