Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

Nakodisha Line za uwakala wa mitandao ya simu

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
36
Reaction score
46
Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi.

Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena.

Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia.

Line nilizonazo ni Mpesa, AirtelMoney, Halopesa na TigoPesa(Yas).

Nina Lipa namba pia ya Tigo, Mpesa na Airtel.

Line zote zimesajiliwa kwa Majina yangu namimi ndio mmiliki halali wa hizo line.

Kama unazihitaji hizi Lines naomba uje PM ili tuzungumze biashara.

ASANTE.

NB; NINGEPENDA NIKUKODISHE KWA MWAKA MMOJA NA ZAIDI ILI UWE NA WASAA MZURI WA KUFANYA KAZI.
 
Kuliko kwenda kukodi laini ya biashara halafu utumie mtaji wako, naona Bora usajili laini kwa Majina yako ,utengenezewe code zako.
Hii yote ni kwa sababu ya usalama wa Mtaji wako.
Majuto Huwa ni Mjukuu.
Code, -airtel 40k
-m-pesa 70k
-mixx by yas 120k
-halopesa 70k
Ukihitaji Njoo Pm
 
Yani unakodisha line ambazo huna mpango wa kuja kuendelea kuzitumia??? si uziuzee tu ujue mojaa
 
Mkuu juzi tigo walipost kwamba laini zao ni bure. Kwanini wanafanya vile wakati kitaani wote wanafahamu bila senti hupati laini,
 
Yani unakodisha line ambazo huna mpango wa kuja kuendelea kuzitumia??? si uziuzee tu ujue mojaa
USalama wa kutumia laini zenye usajili wa mtu mwingine ni hatari
 
Mkuu juzi tigo walipost kwamba laini zao ni bure. Kwanini wanafanya vile wakati kitaani wote wanafahamu bila senti hupati laini,
Fuata vigezo na masharti.ukitaka za short cut ndo hivyo
 
Fuata vigezo na masharti.ukitaka za short cut ndo hivyo
Kwa laini zote? Na hii ya kufata masharti ni masharti gani maana ki kawaida ikifika kwenye shop zao wanakudirect kwa mtu hizo mambo na kimsingi ndo anakutajia hizo bei
 
Kuliko kwenda kukodi laini ya biashara halafu utumie mtaji wako, naona Bora usajili laini kwa Majina yako ,utengenezewe code zako.
Hii yote ni kwa sababu ya usalama wa Mtaji wako.
Majuto Huwa ni Mjukuu.
Code, -airtel 40k
-m-pesa 70k
-mixx by yas 120k
-halopesa 70k
Ukihitaji Njoo Pm
Ni bure mbona , wabongo hawapendi kujigusa. Yaani kabisa nikodi line niweke mtaji say wa milioni tano! Akija na mapolisi akasomba float zote nitafanya nini
 
Vitu vingine mtu unashindwa hata kuvielewa sijui njaa au ukosefu tu wa akili!
 
Kuliko kwenda kukodi laini ya biashara halafu utumie mtaji wako, naona Bora usajili laini kwa Majina yako ,utengenezewe code zako.
Hii yote ni kwa sababu ya usalama wa Mtaji wako.
Majuto Huwa ni Mjukuu.
Code, -airtel 40k
-m-pesa 70k
-mixx by yas 120k
-halopesa 70k
Ukihitaji Njoo Pm
Hii ni Bei ya line za biashara? Mbona kuna watu wanasema line moja hadi Milioni?
 
Hilo tangazo hua lipo kila mwaka, lakini ukifika katika shop zao hali ni tofauti. Hilo ndo swali langu mkuu
Naomba ukweli wa hili jambo maana naona hapa nilipo naweza fanya kitu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kuliko kwenda kukodi laini ya biashara halafu utumie mtaji wako, naona Bora usajili laini kwa Majina yako ,utengenezewe code zako.
Hii yote ni kwa sababu ya usalama wa Mtaji wako.
Majuto Huwa ni Mjukuu.
Code, -airtel 40k
-m-pesa 70k
-mixx by yas 120k
-halopesa 70k
Ukihitaji Njoo Pm
Minimu mtaji wa hii biashara ya money agent ni kiasi gani
 
Back
Top Bottom