Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

Nakodisha ofisi na mashine za uwakala wa benki na mitandao ya simu

infor

New Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
2
Reaction score
5
Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara

Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa

Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi

Uwakala wa simu: Mpesa, Tigo, Airtel na halotel. Till zote zinafanya kazi

Huduma za usajili wa simcard: Vodacom, Airtel na Tigo

Masharti: Interested person ni lazima awe tayari kuendesha biashara katika ofisi hii (Haya ni masharti ya mkataba (compliance) kati ya wakala na benki. Pia benki hasa CRDB wana tabia ya kuwatembelea mawakala mara kwa mara kuhakikisha wako kwenye eneo (post) husika na na wanatoa huduma)

Mkataba utakuwa ni kwa muda wa mwaka mmoja na utahusu ofisi (space) pamoja na mali zake

Ofisi ni kubwa, ina mfumo wa CCTV, teller na ina shelves za kuweka bidhaa zingine, kama vifaa vya electronics, phone and accessories

Leseni ya biashara iko na ina expire Feb 2025


Extras
Pia kuna till za uwakala mkuu wa tigo, halopesa na airtel zipo, M-pesa ipo kwenye matengenezo. hii ni biashara nyingine

Serious customers can PM
 
Back
Top Bottom