Kwanza ndugu yangu wewe ni middle man,yaani sawa na dalali na inaonekana hujui unachokifanya.
-Kwanza weka Picha
Pili ,Kampuni ya Toyota Haijatoa gari Aina ya Noah yenye uwezo wa kuchukua Watu 10 wazima,au watoto 15.
Unapotaka kufanya biashara kuwa mkweli,maana hizo gari watu wanaziona na wengine wanazo,sasa NOAh ya watu hao we umaona wapi.
Na Uliponeda kusajili we ulijaza idadi hiyo?jibu hapana.
Kutaja idadi kubwa ya uwezo wa gari kuchukua sio kwamba ndio utapa wateja,jaribu kuwa muwazi.
Yangu ni hayo,nasema hivyo kwa sababu mie Noah ninayo na ninayajua matoleo yote na taratibu za usajili kama gari ya biashara.
.