Nakodisha toyota noah kwa mkataba

Nakodisha toyota noah kwa mkataba

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
94
Iko katika hali nzuri na ina week ya pili tangu iingie kutoka japan. Rangi yake ni kijani na inachukua abiria watu wazima kumi, kwa watoto kumi na tano na zaidi.
Wenye hoteli na kampuni za kusafirisha wafanya kazi au kubeba vitu ambavyo si vizito
karibuni kwa mazungumzo zaidi
wasiliana na 0713 689665
 
Kwanza ndugu yangu wewe ni middle man,yaani sawa na dalali na inaonekana hujui unachokifanya.
-Kwanza weka Picha

Pili ,Kampuni ya Toyota Haijatoa gari Aina ya Noah yenye uwezo wa kuchukua Watu 10 wazima,au watoto 15.

Unapotaka kufanya biashara kuwa mkweli,maana hizo gari watu wanaziona na wengine wanazo,sasa NOAh ya watu hao we umaona wapi.

Na Uliponeda kusajili we ulijaza idadi hiyo?jibu hapana.
Kutaja idadi kubwa ya uwezo wa gari kuchukua sio kwamba ndio utapa wateja,jaribu kuwa muwazi.

Yangu ni hayo,nasema hivyo kwa sababu mie Noah ninayo na ninayajua matoleo yote na taratibu za usajili kama gari ya biashara.

.
 
Pale mbele katikati huwa wanaweka kigoda, mtu anachuchumaa safari nzima. Halafu anataka wageni wa mahotelini au wafanyakazi wabebwe kama viazi vya mbeya.
 
Back
Top Bottom