Laroi Butata
Member
- Oct 28, 2020
- 91
- 103
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natambua nyote ni maboss zangu, kwa maelezo mafupi yanayoendana na kichwa cha bandiko. Kutokana na taaluma yangu, Freelance Photographer naweza kukodishwa kupiga picha za aina yoyote kwa sehemu yoyote inayoruhusiwa, isipokuwa zile zisizokuwa na maadili.
Naweza kusafiri popote ndani na nje ya nchi ili kufanya kazi yako ifikie hitaji linalokusudiwa.
KARIBU.
Slogan yangu kwenye utendaji wangu inasema. "Kile unachofikilia tunakiweka katika uhalisia"