Laroi Butata
Member
- Oct 28, 2020
- 91
- 103
Vipi hiyo sentensi ya mwisho mteja anailipia piaNawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Natambua nyote ni maboss zangu, kwa maelezo mafupi yanayoendana na kichwa cha bandiko...
Nchi mbali mbali huko kizungu maimuna😂😂Vipi hiyo sentensi ya mwisho mteja anailipia pia
Rekebisha hio haijakaa vema grammatically isije ikakupunguzia credibility.Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Natambua nyote ni maboss zangu, kwa maelezo mafupi yanayoendana na kichwa cha bandiko...
Ambatanisha hiyo sentensi ili nikujibu vizuri boss.Vipi hiyo sentensi ya mwisho mteja anailipia pia
A) BABY SHOWER PHOTOGRAPHYHebu tupe uzoefu,
Wale mnaowapiga picha kabla ya kujifungua, hivi hamuwatamani!? Aisee!.
Wateja wa picha za uchi umeshawahi kuwapata?
Sijakuelewa boss, andika kwa ufasaha naona vitu viwili,Mfano wa picha zisizo na maadili uko wapi...
Asante boss wangu.we gharama zako pamoja na kazi zako ili ataependa akutafute
Mstari upi huo boss?Rekebisha hio haijakaa vema grammatically isije ikakupunguzia credibility.
A) BABY SHOWER PHOTOGRAPHY
Boss kwa ethics za kazi hii as a doctor huwezi kumtamani mteja wako, kwanza utaharibu mfumo wako wa kazi, pili unakaribisha haiba mbaya kwako tatu unavunja uhaminifu, mteja anakujengea taswira ya umalaya.
B) PONOGRAPHICS
Boss hizi kitu sijawahi na sidhani kama nitakuja kufanya hiyo kazi, sababu garama zangu kupiga hizo huwa ni kubwa sana.
Mfano kupiga hizo picha garama yangu inaanzia 3712USD.
Daaa, boss najua umeandika kwa tafsida ila hizo photographics zina garama kubwa sana soma komenti No #10Nakuhitaji kwenye matukio ya kurusha mawe juu ya bati la ex wangu usiku kucha.
Bei gani ya promo utanifanyia???
maana kazi ngumu sana ukiwa kama rijali,,pale paipu inaingia nusu hadi inamalizikia wee unapiga picha nigga anapiga kendeA) BABY SHOWER PHOTOGRAPHY
Boss kwa ethics za kazi hii as a doctor huwezi kumtamani mteja wako, kwanza utaharibu mfumo wako wa kazi, pili unakaribisha haiba mbaya kwako tatu unavunja uhaminifu, mteja anakujengea taswira ya umalaya...
We do where you imaginationMstari upi huo boss?
Naomba nimjue huyo mheshimiwa wa Shinyanga boss wangu na ikiwezekana nione sample image, maana simjui mtu huyo!.Hata kama za yule muke ya mheshimiwa Shinyanga?
Zile simple simple Hivi
Nimeirekebisha na kuiweka kwa lugha yetu pendwa, thanks for that advice boss.We do where you imagination
Bora weka
We Do What you Imagine au
We make your Imagination Possible Au
Where Your Imagination becomes a Reality...