Nakodishwa kupiga picha kwenye Matukio mbalimbali

Hii barabara ina kona angalia saaaana mstari, uko karibu kutoka kwenye chaki. Stick kwenye njia
Napenda watu kama wewe heshima kwako boss kwa kuona hilo.

Nimekuwa nasoma mambo mengi humu jukwaani na nimejifunza mambo mengi kutokana na wadau wa jamii forum so...

Angalizo, nipo imara sana kusimamia ninachokiwakilisha.
 
Ingependeza ukaonyesha sample ya kazi ulizowahi kufanya,tupime hata kwa macho.

Naamini utapata wateja humu ndani, muhimu kazi ikiwa nzuri.
 
Garama ya kufanya coverage kwenye uzinduzi ni kiasi gapi mkuu?
Kuna aina mbili ya kuchukua matukio, moja ni picha zisizojongea (still image) na mbili ni picha inayojongea (video) naomba nijue wewe katika hizo mbili unataka nifanye ipi?.

KARIBU.
 
Ingependeza ukaonyesha sample ya kazi ulizowahi kufanya,tupime hata kwa macho.

Naamini utapata wateja humu ndani, muhimu kazi ikiwa nzuri.
Hizi ni sehemu tu ya kile nilichowahi kufanya.



EXCUSE: Mwenye picha naomba radhi kwa kushare hizi picha hapa.
 
Baba unalipwa kwa dola?
 
Unafanya freelancing, mbona sioni hata ukiweka kama una insta page, website etc

Ili watu waone kazi zako huko
 
Kuna aina mbili ya kuchukua matukio, moja ni picha zisizojongea (still image) na mbili ni picha inayojongea (video) naomba nijue wewe katika hizo mbili unataka nifanye ipi?.

KARIBU.
Videography mkuu...
 
Unafanya freelancing, mbona sioni hata ukiweka kama una insta page, website etc

Ili watu waone kazi zako huko
Boss scan hiyo code ukaingia moja kwa moja kwenye moja ya ukurasa wangu.
 
Waungwana natumaini wote tupo poa kabisa.

Kuna wengine wamekosa teuzi za ukuu wa wilaya na kusikitika ila lazima maisga yaendelee.

Nakuletea huduma ya kubland Picha kwenye mbao (wooden photo) hizi hazivunjiki na zinadumu miaka mingi zaidi zikiwa katika muonekano wa 3D, au kung'aa kama imemwagiwa chembe za barafu

Picha yoyote iwe imesafirishwa tayari au bado, nitaipatia uhai wa muda mrefu tofauti frane ya kioo ambayo UHAI wa picha unapungua kwanza, inaifanya picha kushikana na kioo kutokana na ukungu, pili huwezi kuisafisha hata kwa maji.

Picha zetu zina muonekano mzuri ikiwa ukutani au juu ya meza.👇🏾


Nina aina tatu za materials ninayotumia kuipa uhai picha yako kama;

1. SUGAR.
Hii ni aina ya kioo cha platiki kilichowekwa aina flani ya madini yanayong'aa ambapo yakiwekwa na picha ikipata aina yoyote ya mwanga basi yanang'aa kama imemwagiwa sukari

2. 3D
Haina hii ni ile ambayo ukiangalia picha unaiona kama ipo ndani ya maji au picha iliyo kwenye 90° ikifuata macho yako.

3. NORMAN PLATE.
Hii no maalum kwa wale wasiopenda manjonjo ya kung'aa wala 3D, hii ni plate ya kawaida ila inaiongezea picha thamani kutokana na muonekano wake.

👉🏾Tupo jijini Arusha na kwa sasa natoa offer wateja waliopo mikoa ya jirani kama Tanga, Kilimanjaro na Manyara ukitengenezewa Usafiri ni bure.


Muhimu nitumie picha yako unayoipenda then naiwekea uhai picha yako na kukutumia.

NB. GHARAMA ZETU;
SIZE:............ PRICE Tshs
5X7.............. 6,500pc
6X8.............12,000pc
8X12...........18,000pc
A3...............28,000pc
A2...............56,000pc


KARIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…