Wewe una akili au ni mjinga wa kutupwa?sema lolote uliza chochote, ustaarabu kitu cha bure, karibu
basi bhana laiti ungekielewa hiki kichwa nadhani usinge kurupuka kumdhalilisha mama yako kwa kutoa kiumbe kama wewe, inamaana ulipotoka hukuangalia vizuri?
K yako ina rangi gani.?
swali zuri, kiukweli sijui nijiweke wapi mimi kama mimi, wewe waweza chagua usijali
Wewe una akili au ni.mjinga wa kutupwa?
1. Una umri gani?Sema lolote uliza chochote, ustaarabu kitu cha bure.
Karibu.
nina miaka 34 ninajitegemea, nimeoa na nina watoto wawili, karibu
1. Una umri gani?
2. Unaishi na wazazi au unajitegemea?
Una umri gani mkuu??
Itakuwa umetoroka shule, maana bado hazijafungwa.