Nakopesha kwa riba

Nakopesha kwa riba

Hata hizo islamic bank zinatoza riba kinachofanyika ni wanabadili jina la riba tu, kama unabisha nenda kakope hata laki uone kama utawarudishia laki tu

Kaka fuatilia misingi inayotumika huko Islamic Bank.... Than uje kuitetea hoja yako
 
ameline , biashara inaendaje mkuu? ulifanikiwa kufungua micriofinance au bado una operate locally? marejesho hawasumbui?
 
Last edited by a moderator:
Islamic bank wanatoza riba fullstop

Kwanza watu wanafuatilia mambo ...na kujua kiundani ndipo huja kuyazungumza mbele za watu ..nani alie wahi kwenda Islamic bank na akakopeshwa fedha kama fedha ....kama yupo ajitokeze..
 
Back
Top Bottom