Nakosa hamu ya mapenzi na mke wangu mwezi wa pili tangu ajifungue. Je, ni kawaida?

Nakosa hamu ya mapenzi na mke wangu mwezi wa pili tangu ajifungue. Je, ni kawaida?

Probably huyo ni mtoto wenu wa kwanza.
Wahenga wanasema kuku ukimchunguza sana hutamla.
Kwako ni nafsi yako inakataa kuamini kama huyo ndo yule mwanamke wako uliyekuwa unamwona mzuri kama malaika na msafi kupitiliza baada ya kuona uzazi wake.

Its more of psychological issue yakuifanyia kazi mwenyewe.

Watu wa dawa za nguvu za kiume na mitishamba watasema nawapotezea ulaji
 
Nna mwezi wa tatu sasa sijapiga mashine kabla na baada ya wife kujifungua pia mashine haisimami mpaka asubuhi ndio inasimama je ni kawaida?
Una umri gani? Kama uko 50+ Ni kawaida lakini below 45 Kuna kitu. Wife hajiachii na kanga moja akitoka kuoga?
Haichezei wakati wa kulala?

Lakini pia wanawake wakijifungua Ile miezi ya kwanza hawajiweki mkao wa kugawa utamu ndio maana hata wewe hupati wazo. Utakuta wife ana concentrate kwa mtoto tu hata sidiria havai halafu ananuka maziwa.
 
Back
Top Bottom