Nakosa hamu ya mapenzi na mke wangu mwezi wa pili tangu ajifungue. Je, ni kawaida?

Nina mwezi wa tatu sasa sijapiga mashine kabla na baada ya wife kujifungua pia mashine haisimami mpaka asubuhi ndiyo inasimama je ni kawaida?
Kuna kitu kinaitwa postpartum depression, ni msongo wa mawazo unaowapata wazazi baada ya kupata mtoto.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…