Nakshi nyumba yako na Tanga stone

0766111212 hii ndiyo namba ya kutupata. Whatsapp pia utatupata kwa namba hii.
 
Bwana fundi ujenzi huu wa Tangastone unaonesha kuhitaji kujiweza hasa..!
nikifuatilia gharama zake kwa sq mtr. sidhani kama mlalahoi ataweza labda wale walalahai..
maana kuna maelezo unasema yakiwa yamekatwa basi gharama hupungua na kadhalika kitu ambacho nadhani kama unajenga hizo stones uhakiki kazi zote utafanya mwenyewe.. ila ukianza kutofautisha hzo gharama ndio naona ugumu wa gharama zake..
ila tunashkuru kwa kutujuza pia upande huo.. Tukipata nauli tutakuja.'
 
karibuni sANA
Baadhi ya picha, zina kazi ambazo hatukufanya sisi, tunachojaribu kufanya ni kuonesha ni jinsi gani nakshi za mawe zinapendezesha mazingira.
 

Attachments

  • 1506144929202.jpg
    59.2 KB · Views: 78
  • 1506144968571.jpg
    30.8 KB · Views: 73
Yapambe makazi yako nasi kwa mawe ya Tanga stone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…