Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #241
0766111212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukata na kujenga tsh. 28,000sq meter moja unafanya kwa bei gani?
sq meter moja unafanya kwa bei gani?
Hapo inamaana materials nimenunu mimi au?Kukata na kujenga tsh. 28,000
Hiyo 28,000 maana yake materials ni kwako, hiyo ni gharama ya kukata na kujenga.Hapo inamaana materials nimenunu mimi au?
karibuni sanaHapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.
Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
View attachment 517350View attachment 517351View attachment 517352View attachment 517355
Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
karibuni sana
45,000Mnauzaje kwa square futi au mita yani mnauzaje uzaje mtu akihitaji