Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #521
Karibuni wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni wadau.
Inategemea na mahali ambapo zinawekwa.hizo tanga stone naona hutakiwi kueka nyingi labda tu sehem fulani fulani hivi ukijaza mengi hayapendezi hata
Gharama zake zikoje?..Ufundi na mawe yenyeweKaribuni wadau.
Jenga nasi.Hapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.
Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
View attachment 517350View attachment 517351View attachment 517352View attachment 517355
Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
Gharama zake zikoje?..Ufundi na mawe yenyewe