Nakshi nyumba yako na Tanga stone

hizo tanga stone naona hutakiwi kueka nyingi labda tu sehem fulani fulani hivi ukijaza mengi hayapendezi hata
 
Jenga nasi.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Tuite tuyapambe makazi yako sasa na Tanga stone.
 
Ndg sqm 1 kukata na kujenga ni tsh. 28,000
Fuso 1 kutoka Tanga ni tsh. 1,600,000. Na ikiwa kazi yako ni ndogo unachukulia mawe hapa Dar pc 4 za mawe utazinunua kwa tsh. 35,000 ambazo zikikatwa unapata sqm 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…