Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #581
0766111212 utatupata kwa namba hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuweka wazi kuwa baadhi ya kazi ni za mafundi wenzangu, ninachojaribu kuonesha hapa ni jinsi gani Tanga stone inapendeza kwenye kunakshi makazi yetu.0766111212 utatupata kwa namba hii.
Huo ujazo w square mita 60-68 (fuso) machimboni Tanga ni bei gani?0766111212 tuite.
Kwenye machimbo utapata kwa tsh.1,350,000 na kwangu unapata kwa tsh. 1,600,000 tofauti ni jinsi ya kupata mawe mazuri.Huo ujazo w square mita 60-68 (fuso) machimboni Tanga ni bei gani?
Karibu sana ndg.Zimekaa vizuri sana..ngoja tutafute fyeza