Nakshi nyumba yako na Tanga stone

0766111212 utatupata kwa namba hii.
Naomba kuweka wazi kuwa baadhi ya kazi ni za mafundi wenzangu, ninachojaribu kuonesha hapa ni jinsi gani Tanga stone inapendeza kwenye kunakshi makazi yetu.
 

Attachments

  • IMG-20180310-WA0004.jpg
    42.1 KB · Views: 55
  • IMG-20180312-WA0003.jpg
    34.1 KB · Views: 50
  • IMG-20180310-WA0001.jpg
    68.3 KB · Views: 51
  • IMG-20180310-WA0004.jpg
    42.1 KB · Views: 52
Huo ujazo w square mita 60-68 (fuso) machimboni Tanga ni bei gani?
Kwenye machimbo utapata kwa tsh.1,350,000 na kwangu unapata kwa tsh. 1,600,000 tofauti ni jinsi ya kupata mawe mazuri.
 
Yapambe makazi yako na Tanga stone. 0766111212
 
Ni jukumu letu kukuhudumia na kuyapamba makazi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…