Nakshi nyumba yako na Tanga stone

Nakshi nyumba yako na Tanga stone

Attachments

  • 1501556078406.jpg
    1501556078406.jpg
    48 KB · Views: 86
  • 1501556123913.jpg
    1501556123913.jpg
    63.7 KB · Views: 96
Mafundi wengi kama amekuja site akakukuta unayo mawe tayari, square mt 1 kukata na kujenga ni tsh. Tshj 35,000 mimi nafanya tsh. 28,000.
Nikiwa na mawe nishakata tayari wewe ni kujenga tuu bei sh ngapi kwa sq m 1?

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Mnhhhh...kuna kitu haiko sawa. Bei zako kubwa sanaaa....sanaaa.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu

sema ni kwa sababu ya kuwa ana fanya biashara lakini... sikuwa nime muelewa tangu post yake ya kwanza... kuna sehemu ukimuuliza kitu ana kinganisha na tiles ndo hapo napata shida kumuelewa...

Tiles kuna za wachina wanakata majabali haya kama kule mwanza na zina toka tiles za hatari angalia makazi mengi bado watu wanazielewa tiles na fashion hupita, sasa unapo sema tanga ztone zitakuwapo milele fashion haito isha ndio una toa ulinganishi wa namna hii kwa mteja daaah

napata wasiwasi sana kama wewe sio dalali una tafuta kazi na kwenda kuwapa vibarua wafanye sina uhakika...
 
Mkuu kwanza nafurahi kwa kwa kuchangia kwenye tangazo. Tanga stone siku hizi zinakatwa kwa size tofauti tofauti kulingana hitaji la mtu. Hivyo hapa tiles zinaingia kwasababu mtu akikupa kazi ya Tanga stone za kukata anataka kulinganisha na garama za ujenzi wa tiles.

Suala la kusema kwamba ukinipa kazi unataka nifanye kwa mkono wangu, haya si mawazo ya ki maendeleo hata kidogo, maana yake ikiwa wewe ni fundi cherehani kwenye flame yako inahitajika Cheleheni moja tu. Kwa msingi huo hutakiwi kuanzisha huduma hiyo sehemu nyingine.

Kwa mawazo ya aina hii nikikwambia mimi ni fundi rangi ukikutana na mimi unataka uone shati langu limesheheni matone ya rangi ndo uamini mimi ni fundi rangi.

Si hivyo tu, Ukimuita Mturuki akakwambia anajenga sqm moja kwa tsh. 35,000 unaona ni sahihi, mimi mswahili kwa tsh. 15,000 unaniita Dalali, Mturuki unampa kazi ananipa mimi nifanye bado yeye humuoni dalali.

Mturuki akija site kwako ana ku charge stie visiting tena kwa $ unaona ni sasa, lakini nikija mimi mswahili, unashindwa kuheshimu muda wangu hata nauri hutoi unasema natafuta kazi. Kazi hizi hizi wakija weupe wanawakaanga fedha nyingi na mnaona ni sahihi kuwalipa na mwisho wa siku zinafanywa na sisi waswahili, bado mnaona ni sahihi na mnajinadi kwamba weupe wame husika kwenye Project zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitembelea makampuni ya interior & exterior design, karama za ufundi sehemu nyingine ni mara 3 ya garama halisi ya materials. Nyumba ya kawaida fiscal design nyumba ya kawaida interior ni $300 hapo mtu hajafanya kazi. Lakini Mswahili akikwambia tsh. 100,000 huoni sababu ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom