Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #361
Tutaenda nae hivyo hivyo hivyo.Mwee maguu huyuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaenda nae hivyo hivyo hivyo.Mwee maguu huyuu
Jenga nasi.Hapa tunakuletea ujenzi bora wa Tanga stone. Tumebobea kubuni kukata na kuyajenga mawe ya Tanga.
Ofisi yetu ipo Rufungira Mwenge utatupata kwa namba hii 0766111212
pia kupitia whatsapp utaweza kuona kazi zetu mbalimbali.
View attachment 517350View attachment 517351View attachment 517352View attachment 517355
Katika picha hizi kuna kazi ambazo nimefanya mimi nyingine sio zangu, ila nimelenga kukuonesha mwonekano wa Tanga stone ,
Hii ni sehemu ya mwonekano wa mawe ya Tanga.Karibuni wadau.
karibuni sana[emoji106]
Jenga nasi.karibuni wadau