Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #301
ππππππ Nimepata pure talented shangazi dadek ahahahahah oa weeehOna vijana wenzako wanavyojadili hukooπ€£π€£π€£View attachment 3074183
Hamnaaaa, we usitusikilize sisi.Amjaze nani mbona kama mnaleta pigo sio πππ
ππππππ Mkuu maisha haya mafupi sana ujuewe kula raha banaaa mi mbona nishakubali kuwa sia ajabu bibi yangu kaniachia mkoba!
Mi niache tu hata nna mana basi!
Hapana mkuu ππππDogo uko below 25 nini? π€£π€£π€£
kweli kabisa!ππππππ Mkuu maisha haya mafupi sana ujue
πππAcheni zenu nyie khaaaHamnaaaa, we usitusikilize sisi.
Kula raha wewe, sisi tunapiga soga tu hapa.
We kula zako madafu nini, weka misuli fresh
Jikamue!
tumeachaπππAcheni zenu nyie khaaa
Ukipata nafasi kula raha mkuu..au kuna shida hapo ila pia ni kuwa na akili tukweli kabisa!
Ila kuna karaha kweliππ yani unakula mara mbili.wenzio wanaona raha na ndo wanataka hivyo siku hizi vijana
Mkuu wewe ulikua unaona jau ila kwa sasa ndio habar ya mujini et πππIla kuna karaha kweliππ yani unakula mara mbili.
Hakuna mapenzi ya kweli katika jiji la Dar es salaam.Naelewa sasa....
Ogopa matapeli....
Ni vile ujapata tuu mshangazi mkuu wangu ππππππ
Sio walikimbia bali walikimbiwa...Hakuna mapenzi ya kweli katika jiji la Dar es salaam.
Kumbuka Prof. Jay aliimba "mpaka vibibi vizee navyo vinafanya ukahaba"
Kijana kumbuka hujamkuta bikra huyo, alikuwepo mwenzio.
Jiulize kwanini alikimbia?
Ni jau mkuu , assume ndio mmetoka , mshafanya matumizi , wakati wa kulipa unakodoa macho mama la mama asakure pochi yakeπMkuu wewe ulikua unaona jau ila kwa sasa ndio habar ya mujini et πππ
Unapotea Kijana kila jambo ni mchakato angalia usije ukajikuta umebeba Magonjwa,Nuksi,Mikosi na laana za dunia?Sio walikimbia bali walikimbiwa...
No matter what mi hapa huna cha kuniambia kikanipa khofu...
Yupo safi kiroho na kimwili kiufupi ni mtu wa muhimu kwangu..
Mkuu nainjoi alhamdullilaah namshukuru Mungu kwa hiki nilichokipata kwa sasa....
Japo nyumba najua wajimba wakijua itakua mtiti ila sijari
Hiyo imetokea sana mkuu mi sijali wala nini......Ni jau mkuu , assume ndio mmetoka , mshafanya matumizi , wakati wa kulipa unakodoa macho mama la mama asakure pochi yakeπ
Mgonjwa ..No tushamlizana nayoUnapotea Kijana kila jambo ni mchakato angalia usije ukajikuta umebeba Magonjwa,Nuksi,Mikosi na laana za dunia?
Angalia asije akawa na mtu anayemuweka mjini na wewe umevamiaMgonjwa ..No tushamlizana nayo
Nuksi... Ni suala la imani
Mikosi... Ni suala la imani
Laana... Ni imani pia
Nachoshukuru ni mdada safi japo sio mtu wa dini sana ila yupo safi sana mkuu...
Alafu mikosi kwa watu na pesa zao ni ngumu oooh au ujawahi ona hilo
Hapana mkuu yeye mwenyewe anajiweza mkuu...Angalia asije akawa na mtu anayemuweka mjini na wewe umevamia
wewe ni simba mkuu,Sio walikimbia bali walikimbiwa...
No matter what mi hapa huna cha kuniambia kikanipa khofu...
Yupo safi kiroho na kimwili kiufupi ni mtu wa muhimu kwangu..
Mkuu nainjoi alhamdullilaah namshukuru Mungu kwa hiki nilichokipata kwa sasa....
Japo nyumba najua wajimba wakijua itakua mtiti ila sijari