Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Naelewa sasa....
Ogopa matapeli....
Ni vile ujapata tuu mshangazi mkuu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna mapenzi ya kweli katika jiji la Dar es salaam.

Kumbuka Prof. Jay aliimba "mpaka vibibi vizee navyo vinafanya ukahaba"

Kijana kumbuka hujamkuta bikra huyo, alikuwepo mwenzio.

Jiulize kwanini alikimbia?
 
Sio walikimbia bali walikimbiwa...

No matter what mi hapa huna cha kuniambia kikanipa khofu...

Yupo safi kiroho na kimwili kiufupi ni mtu wa muhimu kwangu..

Mkuu nainjoi alhamdullilaah namshukuru Mungu kwa hiki nilichokipata kwa sasa....

Japo nyumbani najua waki wakijua itakua mtiti ila sijari
 
Sio walikimbia bali walikimbiwa...

No matter what mi hapa huna cha kuniambia kikanipa khofu...

Yupo safi kiroho na kimwili kiufupi ni mtu wa muhimu kwangu..

Mkuu nainjoi alhamdullilaah namshukuru Mungu kwa hiki nilichokipata kwa sasa....

Japo nyumba najua wajimba wakijua itakua mtiti ila sijari
Unapotea Kijana kila jambo ni mchakato angalia usije ukajikuta umebeba Magonjwa,Nuksi,Mikosi na laana za dunia?
 
Ni jau mkuu , assume ndio mmetoka , mshafanya matumizi , wakati wa kulipa unakodoa macho mama la mama asakure pochi yake😁
Hiyo imetokea sana mkuu mi sijali wala nini......

Kuna mda huwa anasema nenda wewe ananipa kadi tu
 
Unapotea Kijana kila jambo ni mchakato angalia usije ukajikuta umebeba Magonjwa,Nuksi,Mikosi na laana za dunia?
Mgonjwa ..No tushamlizana nayo
Nuksi... Ni suala la imani
Mikosi... Ni suala la imani
Laana... Ni imani pia

Nachoshukuru ni mdada safi japo sio mtu wa dini sana ila yupo safi sana mkuu...

Alafu mikosi kwa watu na pesa zao ni ngumu oooh au ujawahi ona hilo
 
Angalia asije akawa na mtu anayemuweka mjini na wewe umevamia
 
Sio walikimbia bali walikimbiwa...

No matter what mi hapa huna cha kuniambia kikanipa khofu...

Yupo safi kiroho na kimwili kiufupi ni mtu wa muhimu kwangu..

Mkuu nainjoi alhamdullilaah namshukuru Mungu kwa hiki nilichokipata kwa sasa....

Japo nyumba najua wajimba wakijua itakua mtiti ila sijari
wewe ni simba mkuu,
ila hapo umekutana na chatu.

Siwezi kuwa refa kwenye huo mtifuano
 
Back
Top Bottom