Nakuachaje sasa? Si kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi

Mzee wa heshima zake jf humu...
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Japo ulivokua kijana ulikua hovyo
Ulipotaja mshangazi nikakuonea wivu, nikasema kweli Vijana mnafaidi, maana enzi zetu Mwaka 47 hatukuwahi kuwa nao 😜

Hahaha.............kweli tumezeeka sasa πŸ€—
 
Ulipotaja mshangazi nikakuonea wivu, nikasema kweli Vijana mnafaidi, maana enzi zetu Mwaka 47 hatukuwahi kuwa nao 😜

Hahaha.............kweli tumezeeka sasa πŸ€—
Aiseeee alafu napata notification kibao hapa mtaa kuwa vijana na wazee wanamtamani sana ila ndo hivo haya mambo yanaenda na nyota na bahati mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Acha wivu. Mwenzio amejipataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo wachawi wanaanza hv hv na vitabia vyao vya hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu subira yavuta heri ujue...
Nilisubri mno
 
Kumbe password tu. Nikajua amekupa moyo kabisa
Password za kila kitu mpaka chini mkuu imagine hata wewe ungemuacha huyu mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: 511
Oaaa weee weeeh amenipa na password yake.....

Namuachaje sasa ....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe mapenzi ni vitu vidogo vidogo tu kama ndugu yangu apa anapagaiwswa na kupewa password ni vidogo tu vinapagawaisha kama hivi yani watu weingine mna complocate life,
 
Ndo wachawi wanaanza hv hv na vitabia vyao vya hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu subira yavuta heri ujue...
Nilisubri mno
Hongera sana mkuu mapenzi ni furaha na sio karaha na kero, ikijiapata una haki kuongea hivi maana mapenzi siku hizi yamepoteaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…