Nakubali kuwa Mpira una Maajabu yake, ila Al Ahly FC tena Kwao nakataa hivyo naombeni kujua Ratiba ijayo ya Simba SC katika NBC Premier League yetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je, Simba SC tukishatolewa rasmi na National Al Ahly FC Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2023 katika hii Michuano mipya ya African Football League (AFL) tunakuja kuendelea Kucheza na nani katika Ligi Kuu yetu na ya Kivyetu vyetu?

Tusidanganyane wala kupeana Moyo Mwekezaji wetu akitaka Simba SC yetu ipambane na ifike mbali aamue kweli Kujitoa (hasa Kifedha) atusajilie Majembe ya maana ila kwa hawa Wachezaji wa Mikopo na wa 10% na wa Kubahatisha tutaishia hapa hapa tu Robo hata kama temewekeza vilivyo katika Kamati ya Ufundi (Waganga wa Kienyeji na Ulozi) ambayo ndiyo tunajivunia nayo sana ila siyo Uwezo wa Wachezaji wetu Kupambana na Kuipambania Timu.

Jumanne nitakuwa natizama Mpira (Mechi ya marejeano) ya Al Ahly FC na Simba SC huko nchini Kwao Misri (Egypt) huku nikiwa na Panadol zangu na Dawa yangu ya Kushusha Presha nikijua kuwa tunaenda Kufundishwa tena Kuucheza Mpira na Kuadabishwa Kikatli na Matokeo yatakayotufurumisha rasmi Nje ya haya Mashindano mapya ya AFL.
 
Umeandika point.

BINAFSI NAMSHANGAA SANA MO
AMBAYE HUWA ANAKUJA KWENYE NEEMA NA KUTOKA KWENYE SHIDA..

Simba Hadi sasa Imepata Hela ya super cup takribani BILIONI nane.

BILIONI 5.5 za Maandalizi tangu Mwezi WA Tatu
BILIONI 2.5 zaKutolea na Alhaly Robo fainali.

Manula AMEUMIA UNAENDA KUTULETEA AYOUB MDAKA MIPANZI

AYOUB HADI LEO YUPO SIMBA INASHANGAZA SANA
 
Billion 8 zipi
Mbona unapenda kujivua nguo
Kuonyesha kichwani hamna kitu
Kila mshiriki kapewa 2.5b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILIISHA SEMA HILI SUALA NIKAONEKANA SIJUI MPIRA KAMA VILAZA WA HAPA.

Billion 8 zipi
Mbona unapenda kujivua nguo
Kuonyesha kichwani hamna kitu
Kila mshiriki kapewa 2.5b

Sent using Jamii Forums mobile app

Fedha za maandalizi ya super league Kwa Kila Timu shiriki ni kiasi Gani????????.????.?.?.

We mtoto mdogo usipende kushindana na WATU WENYE akili Timamu.

Tena Simba ililamba BILIONI 5.8
Za maandalizi tu.

FICHA UPUMBAVU wako
 
Hamjambo hapo jangwani? Sisi huku msimbazi mambo yanaendelea vizuri sana! Al Ahly atalia kwao!! Majrani tunawajua tu hata kama wakiigiza umsimbazi bado wana harufu kali ya "uwananchi"!! Yaani utawajua tu!
 
Leo GENTAMYCINE kama mwana Yanga SC? Kuna Mashabiki wa Mpira Tanzania si tu ni Washamba bali pia ni Wapumbavu yaani Mimi kusema Ukweli kuwa sina Imani na Simba SC Kumfunga Al Ahly FC Kwao Misri Keshokutwa ( Jumanne ) kwa sababu zangu za Kiufundi ndiyo nimeshageuka kuwa mwana Yanga SC? Kuna Mtu anayeinanga Yanga SC hapa JamiiForums hadi sasa nimepata Maadui Wengi na kila Siku natukanwa nao tu ( tena Matusi makubwa ) kana Mimi GENTAMYCINE? Leo unasema Mimi ni mwana Yanga SC kwa kusema tu Ukweli usioutaka kuwa Simba SC haiwezi Kutoboa je, Mnafiki na Mpumbavu Mmoja Wewe huwa unakuwa wapi Kunishukuru / Kunipongeza GENTAMYCINE pale nikiwa naandika Mada mbalimbali za Kuwasema / Kuwananga Yanga SC hapa JamiiForums?
 
Fedha za maandalizi ya super league Kwa Kila Timu shiriki ni kiasi Gani????????.????.?.?.

We mtoto mdogo usipende kushindana na WATU WENYE akili Timamu.

Tena Simba ililamba BILIONI 5.8
Za maandalizi tu.

FICHA UPUMBAVU wako
CAF hawatoi fedha yeyote hapo kabla, na ndio maana kigezo kimoja cha kushiriki haya mashindano, timu iwe inajimudu kifedha. Mashindano yote ya CAF timu huwa inalipwa pale inapofikia, hakuna pesa inayotolewa mwanzoni.
 
Duuuh nyie watu wa Uto nimewanyoshea mikono aisee ,yaan unabishana na ukweli ambao kila chomba Cha habar kilitaja na vyanzo vya kuaminika.
Mashabik wa yanga ni Kama mmezaliwa mama mmoja baba mmoja wote mnafanana akili.

Mashindano mapya wasipewe pesa ya maandaliz ivi unajielewa wewe?

Kama kigezo ilikua ni kujimudu kipesa Basi hao akina piramiy., Raja ,Orando ,kaizer ,Zamalek walikua na nafas kubwa Sana mbele ya Simba maana Wana mwacha mbali Simba kipesa.

Jaribu kushirikisha ubongo kabla haujaropoka ,mnatia kinyaa Sana[emoji706]
 
CAF hawatoi fedha yeyote hapo kabla, na ndio maana kigezo kimoja cha kushiriki haya mashindano, timu iwe inajimudu kifedha. Mashindano yote ya CAF timu huwa inalipwa pale inapofikia, hakuna pesa inayotolewa mwanzoni.
Ni vyema ukaufaa muundo na utaratibu wa kifedha wa mashindano haya ya AFL badala ya kukariri kile ambacho unakijua kuhusu CAFCL na CAFCC.
 
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Hivi unadhani 8b ni pesa ndogo tu
Hakuna pesa ya maandalizi, CAF ilitoa kila mshiriki atapewa 2.5 b
Ambayo bado ni pesa nzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billion 8 zipi
Mbona unapenda kujivua nguo
Kuonyesha kichwani hamna kitu
Kila mshiriki kapewa 2.5b

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie nimecheka mimi.[emoji1787]

Hebu mwambie akupe link yeyete ikionyesha timu zinapewa bilioni 8 za kushiriki. [emoji1787]

Bingwa mwenyewe anapewa bilion 9 halafu za kujiandaa upewe bilion 8...?

Uwendawazimu ni mbaya sana!
 
Fedha za maandalizi ya super league Kwa Kila Timu shiriki ni kiasi Gani????????.????.?.?.

We mtoto mdogo usipende kushindana na WATU WENYE akili Timamu.

Tena Simba ililamba BILIONI 5.8
Za maandalizi tu.

FICHA UPUMBAVU wako
Wapi wameandika bilioni 8 za maandalizi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…