GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, Simba SC tukishatolewa rasmi na National Al Ahly FC Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2023 katika hii Michuano mipya ya African Football League (AFL) tunakuja kuendelea Kucheza na nani katika Ligi Kuu yetu na ya Kivyetu vyetu?
Tusidanganyane wala kupeana Moyo Mwekezaji wetu akitaka Simba SC yetu ipambane na ifike mbali aamue kweli Kujitoa (hasa Kifedha) atusajilie Majembe ya maana ila kwa hawa Wachezaji wa Mikopo na wa 10% na wa Kubahatisha tutaishia hapa hapa tu Robo hata kama temewekeza vilivyo katika Kamati ya Ufundi (Waganga wa Kienyeji na Ulozi) ambayo ndiyo tunajivunia nayo sana ila siyo Uwezo wa Wachezaji wetu Kupambana na Kuipambania Timu.
Jumanne nitakuwa natizama Mpira (Mechi ya marejeano) ya Al Ahly FC na Simba SC huko nchini Kwao Misri (Egypt) huku nikiwa na Panadol zangu na Dawa yangu ya Kushusha Presha nikijua kuwa tunaenda Kufundishwa tena Kuucheza Mpira na Kuadabishwa Kikatli na Matokeo yatakayotufurumisha rasmi Nje ya haya Mashindano mapya ya AFL.