Mimi au wewe? Wewe ndio ukajifunze kwasababu yaonesha hujui. CAF huwa hawatoi pesa yeyote ile kwa ajili ya maandalizi. Na ndio maana unaona kuna timu zinashindwa kusafiri na zingine zinashindwa kushiriki michuano ya CAFCC na CAFCL sababu hawana uwezo kifedhaNi vyema ukaufaa muundo na utaratibu wa kifedha wa mashindano haya ya AFL badala ya kukariri kile ambacho unakijua kuhusu CAFCL na CAFCC.
Kanjibhai wenu ni msanii sana alishawaona wafuasi wake ameshika akili zenu, Nasikia kawaahidi kina john boko bilioni moja WAKISHINDA Misri ni Kama anawakebehi akijua pesa yake Iko sehemu salama🤣🤣Je, Simba SC tukishatolewa rasmi na National Al Ahly FC Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2023 katika hii Michuano mipya ya African Football League (AFL) tunakuja kuendelea Kucheza na nani katika Ligi Kuu yetu na ya Kivyetu vyetu?
Tusidanganyane wala kupeana Moyo Mwekezaji wetu akitaka Simba SC yetu ipambane na ifike mbali aamue kweli Kujitoa (hasa Kifedha) atusajilie Majembe ya maana ila kwa hawa Wachezaji wa Mikopo na wa 10% na wa Kubahatisha tutaishia hapa hapa tu Robo hata kama temewekeza vilivyo katika Kamati ya Ufundi (Waganga wa Kienyeji na Ulozi) ambayo ndiyo tunajivunia nayo sana ila siyo Uwezo wa Wachezaji wetu Kupambana na Kuipambania Timu.
Jumanne nitakuwa natizama Mpira (Mechi ya marejeano) ya Al Ahly FC na Simba SC huko nchini Kwao Misri (Egypt) huku nikiwa na Panadol zangu na Dawa yangu ya Kushusha Presha nikijua kuwa tunaenda Kufundishwa tena Kuucheza Mpira na Kuadabishwa Kikatli na Matokeo yatakayotufurumisha rasmi Nje ya haya Mashindano mapya ya AFL.
Hizi Bilion 8 ni zipi tena??Umeandika point.
BINAFSI NAMSHANGAA SANA MO
AMBAYE HUWA ANAKUJA KWENYE NEEMA NA KUTOKA KWENYE SHIDA..
Simba Hadi sasa Imepata Hela ya super cup takribani BILIONI nane.
BILIONI 5.5 za Maandalizi tangu Mwezi WA Tatu
BILIONI 2.5 zaKutolea na Alhaly Robo fainali.
Manula AMEUMIA UNAENDA KUTULETEA AYOUB MDAKA MIPANZI
AYOUB HADI LEO YUPO SIMBA INASHANGAZA SANA
Weka ushahidi hapa kuwa CAF walitoa bil 5.8 za maandalizi kwa kila timu shirikiDuuuh nyie watu wa Uto nimewanyoshea mikono aisee ,yaan unabishana na ukweli ambao kila chomba Cha habar kilitaja na vyanzo vya kuaminika.
Mashabik wa yanga ni Kama mmezaliwa mama mmoja baba mmoja wote mnafanana akili.
Mashindano mapya wasipewe pesa ya maandaliz ivi unajielewa wewe?
Kama kigezo ilikua ni kujimudu kipesa Basi hao akina piramiy., Raja ,Orando ,kaizer ,Zamalek walikua na nafas kubwa Sana mbele ya Simba maana Wana mwacha mbali Simba kipesa.
Jaribu kushirikisha ubongo kabla haujaropoka ,mnatia kinyaa Sana[emoji706]
Wamekimbia,Ahmed Ally anawaharibu sana akili mbumbumbu wa SimbaWeka ushahidi hapa kuwa CAF walitoa bil 5.8 za maandalizi kwa kila timu shiriki
Mbumbumbu wako Google wanakujaWamekimbia,Ahmed Ally anawaharibu sana akili mbumbumbu wa Simba
Ahmed Aly na yeye si ni boya boya Kama walivyo wafuasi wao, tunajua anatetea ugali wake lakini Kuna vitu vingine anafanya vinamvua nguo na kuonekana Kama kituko Fulani hivi maana uhalisia wake unaonekana hadharani!Tatizo mdomo na malengo makubwa kuliko uhalisia! Unaitaka nusu fainali ya CAFCL unaenda kuokoteza wachezaji kutoka Rwanda, unasajili wachezaji takribani 9 ila wawili tu ndio wameingia kikosi cha kwanza![emoji23]
Maskini Ahmed Ally anatumwa kuaminisha mashabiki kuwa wana kikosi cha Chuma…[emoji23]
Kajifunze.Mimi au wewe? Wewe ndio ukajifunze kwasababu yaonesha hujui. CAF huwa hawatoi pesa yeyote ile kwa ajili ya maandalizi. Na ndio maana unaona kuna timu zinashindwa kusafiri na zingine zinashindwa kushiriki michuano ya CAFCC na CAFCL sababu hawana uwezo kifedha
Wewe ni miongoni mwa mashabiki wakubwa JF. Lini na wapi fedha ya maandalizi ikazidi fedha anayopewa bingwa? Wakati mwingine propaganda za mashabiki zinapoteza radha ya soka.Fedha za maandalizi ya super league Kwa Kila Timu shiriki ni kiasi Gani????????.????.?.?.
We mtoto mdogo usipende kushindana na WATU WENYE akili Timamu.
Tena Simba ililamba BILIONI 5.8
Za maandalizi tu.
FICHA UPUMBAVU wako
Msema kweli mpenzi wa Mungu...!!!Je, Simba SC tukishatolewa rasmi na National Al Ahly FC Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2023 katika hii Michuano mipya ya African Football League (AFL) tunakuja kuendelea Kucheza na nani katika Ligi Kuu yetu na ya Kivyetu vyetu?