machoalbi
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 404
- 351
Tatizo mdomo na malengo makubwa kuliko uhalisia! Unaitaka nusu fainali ya CAFCL unaenda kuokoteza wachezaji kutoka Rwanda, unasajili wachezaji takribani 9 ila wawili tu ndio wameingia kikosi cha kwanza![emoji23]
Maskini Ahmed Ally anatumwa kuaminisha mashabiki kuwa wana kikosi cha Chuma…[emoji23]
Maskini Ahmed Ally anatumwa kuaminisha mashabiki kuwa wana kikosi cha Chuma…[emoji23]