MWAISEMBA CR
Member
- Apr 21, 2014
- 87
- 81
Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe mtizamo wangu kuhusu hili na nieleze nani anafaa kati yao ingawa mimi binafsi ๐บ๐๐ ๐ป๐๐๐ ๐ณ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐บ๐๐ ๐ป๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐ wala siyaandiki haya kuonyesha upande wangu ila nimeyanadika haya kwa kuyatazama kwa ๐ฑ๐ฐ๐ช๐ฏ๐ถ ๐ณ๐จ ๐ป๐จ๐ป๐ผ ๐ฒ๐พ๐จ ๐ด๐จ๐บ๐ณ๐จ๐ฐ ๐๐จ ๐พ๐จ๐ต๐จ๐ช๐ฏ๐จ๐ซ๐ฌ๐ด๐จ
๐ท๐๐๐,Nimekuwa mfuatiliaji na msikilizaji wa hoja za kila Upande bila kuwa bias kuliko wakati wowote,ila nimetokea kuvutiwa sana na Hoja za mheshimiwa ๐ป๐ผ๐ต๐ซ๐ผ ๐ณ๐ฐ๐บ๐ผ hasa katika ile hotuba yake ya kwanza ambapo ameeleza dhamira yake ya dhati kuwa anahitaji ๐ด๐จ๐ฉ๐จ๐ซ๐ฐ๐ณ๐ฐ๐ฒ๐ถ ๐ต๐ซ๐จ๐ต๐ฐ ๐๐จ ๐ช๐ฏ๐จ๐ด๐จ kutokana na Udhaifu mbalimbali alioutaja na kueleza kuwa kwa majira ya Utawala wa Serikali hii ya sasa, unahitaji mtu mwenye ideology kama yake ili kuleta mabadiliko ndani ya Chadema.Hii ni kweli kabisa
Pia kuna mambo mengi sana mheshimiwa Lisu ametufumbua macho watu wengi ambayo tulikuwa hatuyajui sana ya ndani ya Chadema na ambayo naamini huenda yana ukweli kwa asilimia kubwa sana.Nimependa sana Uwezo wake wa kujenga hoja nzuri mbele ya media na ujasiri wake wa kuthubutu hata kumchalengi mwenyekiti Mbowe kwa ushawishi mkubwa alio nao hasa katika kujenga hoja na kupangua hoja pinzani zote.Pia ameeleza yeye ni mkweli wala sio mnafki na hapendi kuficha Uovu hata kama unafanyika ndani ya chama chake ndio maana ametoka mbele ya dunia kueleza yaliyo ndani ambayo anaona yanapaswa kubadilishwa.
๐ณ๐๐๐๐๐, mimi kwa jicho langu la tatu, nimejiuliza mengi ambayo ndio nataka tujiulize wote pamoja, Na tuitumie ๐ฒ๐จ๐ต๐ผ๐ต๐ฐ ๐ด๐ถ๐ฑ๐จ ๐๐จ ๐ฒ๐ผ๐ท๐ฐ๐ด๐จ ๐ผ๐ฒ๐พ๐ฌ๐ณ๐ฐ ๐ต๐จ ๐ซ๐ฏ๐จ๐ด๐ฐ๐น๐จ ๐๐จ ๐ด๐ป๐ผ
Nimejiuliza sana, Je ukweli wote tunaoambiwa juu ya Chadema au juu ya udhaifu wa Mbowe, Sisi wote hata ambao sio Chadema tunapaswa kuufahamuโ๏ธJe ukweli huo unatusaidia nini tukiufahamuโ๏ธJe ukweli huo tukiufahamu unatujenga au unatubomoa kwa kiasi ganiโ๏ธ Je ni wakati sahihi wa kuusema ukweli huo na ni mahali sahihi pa kuuweka ukweli huuโ๏ธ Je tumefikiria impact yake baada ya kuuleta huo tunaouona ni ukweli kwa maslai ya kukijenga chama unachotaka kukiongozaโ๏ธ.
Kimsingi Yapo mengi ningeendelea kuyauliza na yenye kutafakarisha sana ila hapa naomba nieleze machache ya kuyajibia maswali hayo kabla ya kuagalia ile kanuni...
Hivi Just Imagine Umewaona Mama yako na Baba yako wanagombana na unaona Baba anamfukuza Mama yako na panga au bastola ili amuue, ila ukamuona kabisa mama yako amejificha nyuma ya mlango na ghafla baba yako ametokea kuuliza mama yako yupo wapi?๐ฑ๐ฌ ๐ผ๐ป๐จ๐ด๐พ๐จ๐ด๐ฉ๐ฐ๐จ ๐ผ๐ฒ๐พ๐ฌ๐ณ๐ฐ, ๐๐๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ต๐๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ?(๐ท๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐ ๐ผ๐๐๐๐ ๐ผ๐๐๐๐).๐ฑ๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ , ๐ฑ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐ฑ๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐?
๐ฒ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฉ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐.๐ด๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐? ๐จ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐.๐จ๐ ๐ฝ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐?
Sio kila unachodhani ukweli unapaswa uwekwe wazi hadharani bila kujali madhara yanayoweza kutokea kwa kuuweka hadharani, wakati mwingine utawafanya hata familia yenu yote ionekane mavi wala haifai mbele ya jamii.Yapo mazingira na mahala sahihi pa kuusemea.Ukikosa hekima na busara ya kujua ni mahali gani sahihi pa kuusema ukweli na wakati gani wa kuusema ukweli na kwa nani wa kumpa ukweli unaweza ukaharibu hata maana ya ukweli unaotaka kuusema na unaweza ukakudhuru mwenyewe
Mimi nafikiri mambo mengi na ya kweli aliyoyazungumza Mheshimiwa Lisu hadharani tena ya kumshushia heshima mheshimiwa Mbowe, yalikuwa ni mambo ya siri ya ndani ya chama ambayo yasingepaswa kutoka nje kwa maslai ya kukilinda chama.Ni mambo ambayo yangefaa kujadiliwa na wanachama na kama ikiwa kuna watakaotakiwa kuwajibika watawajibishwa ndani ya chama ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
๐ด๐๐๐๐๐, Ipo kanuni Moja ya kuangalia UKWELI,NIA NA NJIA ANAYOTUMIA
โถ๏ธMtu anaweza kuwa Mkweli kabisa ila akawa ana nia ovu ndani yake, ila anautumia ukweli alio nao ili kupata nafasi na kibali mbele za watu.Jambo hilo ni la muhimu kuangalia ili kuweza kutambua Nia ya kila anayeusema ukweli
โถ๏ธMtu anaweza kuwa Mkweli Kabisa na akawa na Nia njema kabisa ila Njia anayoitumia ikawa ni njia mbaya.Na Ukikosea tu njia inaweza kuharibu hata ukweli ulio nao ukapuuzwa na ukaonekana haufai kabisa
Sasa katika hili Vuguvugu la Uenyekiti kati ya Lisu na Mbowe, nilichokiona na kukipima pamoja na propaganda zote zinazotumika na pande zote ni Kwamba ๐ฏ๐ผ๐ฌ๐ต๐ซ๐จ ๐ต๐ฐ ๐ฒ๐พ๐ฌ๐ณ๐ฐ ๐ป๐ผ๐ต๐ซ๐ผ ๐ณ๐ฐ๐บ๐ผ ๐จ๐ต๐จ ๐ต๐ฐ๐จ ๐ต๐ฑ๐ฌ๐ด๐จ ๐๐จ ๐ฒ๐ผ๐ณ๐ฌ๐ป๐จ ๐ด๐จ๐ฉ๐จ๐ซ๐ฐ๐ณ๐ฐ๐ฒ๐ถ ๐ต๐จ ๐ฏ๐ผ๐ฌ๐ต๐ซ๐จ ๐จ๐ต๐จ๐๐ถ๐บ๐ฌ๐ด๐จ ๐๐จ๐ต๐จ ๐ผ๐ฒ๐พ๐ฌ๐ณ๐ฐ ๐พ๐ถ๐ป๐ฌ ๐ฐ๐ณ๐จ ๐จ๐ด๐ฌ๐ฒ๐ถ๐บ๐ฌ๐จ ๐ฒ๐จ๐ป๐ฐ๐ฒ๐จ ๐ต๐ฑ๐ฐ๐จ ๐จ๐ต๐จ๐๐ถ๐ป๐ผ๐ด๐ฐ๐จ ๐ฒ๐ผ๐ณ๐ฌ๐ป๐จ ๐ฏ๐ผ๐ถ ๐ผ๐ฒ๐พ๐ฌ๐ณ๐ฐ
Njia Pekee anayoikosea Mheshimiwa Tundu lisu katika kuuleta ukweli wake ni ๐ต๐ฑ๐ฐ๐จ ๐๐จ ๐ช๐ฏ๐จ๐น๐จ๐ช๐ป๐ฌ๐น ๐จ๐บ๐บ๐จ๐บ๐ฐ๐ต๐จ๐ป๐ฐ๐ถ๐ต,๐ต๐ฑ๐ฐ๐จ ๐๐จ ๐ฒ๐ผ๐จ๐ต๐ฐ๐ฒ๐จ ๐ด๐จ๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐จ ๐ช๐ฏ๐จ๐ด๐จ ๐ช๐ฏ๐จ๐ฒ๐ถ ๐ด๐ฉ๐ฌ๐ณ๐ฌ ๐๐จ ๐จ๐ซ๐ผ๐ฐ ๐๐จ๐ฒ๐ถ,๐ต๐ฑ๐ฐ๐จ ๐๐จ ๐ฒ๐ผ๐ช๐ฏ๐จ๐ญ๐ผ๐จ ๐พ๐ฌ๐ต๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฌ ๐ฐ๐ณ๐ฐ ๐พ๐ฌ๐พ๐ฌ ๐ผ๐พ๐ฌ๐ท๐ถ ๐ด๐บ๐จ๐ญ๐ฐ ๐ต๐ซ๐จ๐ต๐ฐ ๐ช๐ฏ๐ถ๐ด๐ฉ๐ถ ๐ฏ๐ฐ๐ช๐ฏ๐ถ ๐ฏ๐ฐ๐ช๐ฏ๐ถ
Pamoja na mapungufu yote aliyo nayo mheshimiwa mbowe yanayotokana tu na mitizamo(ideology) yake ๐๐จ ๐ซ๐ฐ๐ท๐ณ๐ถ๐ด๐จ๐ป๐ฐ๐ช lakini ni wazi huwezi kutumia njia ya kumvunjia heshima Baba yako ili wewe uheshimike zaidi.Mbowe ni kama baba katika Chadema anatambulika kwa uwezo wake mkubwa wa kukijenga chama hichi from unknow to be known, kutoka Zero to Hero
Hata kama ni kweli sasa mnaona amepotoka au amekosea au hamumhitaji kwa sasa, bado mngepaswa kutunza legacy yake na heshima aliyoitengeneza kwa muda mrefu sio kumtukana,au kuanika madhaifu yake au kumdharirisha mbele ya adui zenu kuwa eti amelamba asali?
Hiyo njia inayotumiwa na mheshimiwa Tundu Lisu na Team yake yote ndio inafanya tuwe na mashaka kama kweli Nia yetu ni njema au laโ๏ธ๐ฑ๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐โ๏ธ
๐ฏHivi kweli huwazi baada ya kuanika madhaifu ya chama chenu utavunja moyo wanachama wangapi waliokuwa wanaamini katika hao unaowavunjia heshimaโ๏ธ
๐ฏHivi huwazi utawapa madui zako sauti kiasi gani au watakupuuza na kukudharau kiasi ganiโ๏ธ
๐ฏHivi kweli huwazi kwa namna mnavyotumia njia ya kupena mipasho ni njia inayowafedhehesha wenyewe na kuonekana mmepungukiwa hekima na busara kiasi ganiโ๏ธ
๐ฏHivi unaweza ukaupata ubaba kwa njia ya kumvua nguo baba yako hadharani na ukategemea watoto wako watakuheshimu kwasababu umeeleza ukweli na ubaya aliokuwa anafanya baba yakoโ๏ธ
Mimi kwa namna njia zinazotumiwa katika kufanya kampeni hizi za kumtaka mbowe aondoke ndio zinanipa mashaka kuona j,kweli nia yetu ni ya kweli kiasi hauogopi mtakiacha chama chenu mmekijeruhi na kukiumiza na kukivua nguo kiasi gani kiasi hata jamii itashindwa kuwaamini katika chaguzi zote?
Je,hamjifunzi hata kwa CCM,pamoja na madudu na namna.wanavyotifuana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama lakini wanajua yapi wayazungumze hadharani hata kama hawakubaliani lakini wanajua wanaangalia maslai ya chama chao sio maslai yao binafsi
Kutokana na tabia hii anayoionyesha Mheshimiwa Tundu Lisu pamoja na kuwa namsapoti sana juu ya hoja zake za mageuzi na mabadiliko lakini zimenifanya nione hafai kwa nafasi hiyo kutokana na njia anazotumia kutafuta nafasi hii ya uenyekiti zinaonyesha hawazi juu maslai ya chama chao bali maslai yake binafsi
Mwisho ,bado hata nikiwafuatilia akina Heche, Lema na akina msingwa wengi wao nikiwasikiliza wanaongea ukweli ambao unatokana na machungu, au visasi au hasira binafsi walizo nazo dhidi ya mwenyekiti wao Mbowe.Nimeona hawawazi sana maslai ya wana chadema isipokuwa wanamsapoti lisu ili kumkomoa Mbowe kutokana na namna alivyowatendea ambavyo wanadhani ni isivyo sahihi.
Nafikiri Chama cha siasa hakipaswi kuongozwa na Mihemko,hasira binafsi dhidi ya watu, Mashindano yasiyo lenga kukijenga chama n.k
Kwa msingi huo, nafikiri kama kweli ni Demokrasia basi tuache democrasia iamue wala tusihukumiane na kumuona fulani hafai kugombea, nafikiri matokeo ndio yatakayoamua.Ninawaombea Uchaguzi mwema wa uhuru na haki.Mungu awabariki
Na Shujaaยฉ๏ธยฎ๏ธโ๏ธ
stmwaisembac@gmai.com