Ni kadada fulani hivi kanapenda ugomvi kamegombana na watanzania wote wenye maendeleo.
Pia ni mwalimu wa machangudoa wanaotaka mabuzi wa kizungu.
Mange ndio Malaya gani
Kusema ukweli nakubaliana na alichokisema Mange.
Diamond na Kiba wana vipaji ila wasipofuata ushauri wa huyu dada watapotea.
Mange ananikera kwa tabia zake za ugomvi ila hapa ameongea point ya maana sana.
mosdef big up naona matumbo ndio anapaniki hapa hakuna chuki binafsi wala nini mosdef ameongea ukweli tena anaujua muziki zaidi yako wewe matumbo yaani blabla za mange kimambi ndio unazisifia au umetumwa kweli mtu kama jux anastahili kupea coverage humu ndani?umenishangazaMosDef naona wewe una tatizo binafsi na mimi ndio maana umeishia kunishambulia.
Ila ulichokiandika mantiki yake ni kama nilichokiandika mimi...Ndio maana ata maswali umeweza kujijibu mwenyewe.
Anyways huu ni mtazamo wangu ata kama hauupendi hauna jinsi ni mimi huyu utafanyaje sasa.
Nachoweza kukushauri ni kwamba unapokutana na watu wanajadili issues mihemko weka pembeni. Ushabiki hautokisaidia.
Wanafanya vizuri ndio.Na nyimbo zao ndio zinazoongozwa kupigwa redioni hiyo haina ubishi sababu majina yao yako kwenye chati.Ila jiulize wakiendelea kutoa nyimbo mbovu mbovu kama hizi watakua wapi miaka mitatu ijayo.
Binafsi nyimbo nzuri za Diamond ni kuanzia My number one na kurudi nyuma hizo zilizofuatia ni MBAYA na ukweli lazima watu waseme.Mimi ni shabiki mkubwa wa Diamond hata kifesi anajua ila unafki sipendi na Diamond ni kama amefulia kwenye kutunga nyimbo nzuri.Ali Kiba ndo anapumulia mashine maskini ya Mungu,yaani karudi na vinyimbo vimechooka kama nguo za mtumba wa Karume.Mwana ni nzuri kidoogo ila haina hata robo ya viwango wa zile nyimbo zake za mwanzo.Huyu Ali Kiba huyu yaani ile sauti yake haitendei haki kabisa na hutu tu nyimbo twake tupya.Mi huwa najiulizaga hivi Kiba na ile sauti yake adimu ndio angeimba My number one sijui ingekuaje.
Yan uyo dada kaongea point lazma ukubal kuna mda ukifika mtu unaweza kuishiwa tungo kuliko kuimba ilimrad utoe nyimbo ni bora utafte mtu wa kukuandikia ili usishuke kimzk
mosdef big up naona matumbo ndio anapaniki hapa hakuna chuki binafsi wala nini mosdef ameongea ukweli tena anaujua muziki zaidi yako wewe matumbo yaani blabla za mange kimambi ndio unazisifia au umetumwa kweli mtu kama jux anastahili kupea coverage humu ndani?umenishangaza
Nimechoka story Diamond na Ali kiba
Yan uyo dada kaongea point lazma ukubal kuna mda ukifika mtu unaweza kuishiwa tungo kuliko kuimba ilimrad utoe nyimbo ni bora utafte mtu wa kukuandikia ili usishuke kimzk
yuko sahihi kwa maeneo flani ila pengine hayuko sahihi. NITAMPATA WAPI ya Diamond inafanya vizuri sana kwenye chart za TV Stations kubwa za Africa.
pamoja na kaka mkubwa AY naye anafanya vema sana. lakini naamini hili bifu likiisha tutafaidi muziki wa Kiba na Diamond. lazima tutambue kuwa Kiba ni Kiba na Diamond ni Diamond.
kila mtu ana ladha na vionjo vyake kwa mashabiki wake.
mfano mimi siupendi muziki wa AY ila napenda sana juhudi zake za kuupeleka muziki wetu kimataifa. ameanzia mbali sana mpaka hawa vijana wengine wanapitia kwenye milango aliyoitengeneza AY na uzuri hana choyo wa roho mbaya.
wasanii wote wangekuwa na mtizamo kama AY tasnia ingekuwa mbali zaidi. sio umbea uchawi na majungu.
Hivi anajinsia ya kike huyo mange? Anaujua mziki au mwanamuziki au kasomea mziki???
Lazma ajikolifai ili na sisi turidhike na maoni yake. Sio atoke huko then afanye analysis ya mziki.
Wewe.ni changudoa gani, ungetujibu kwanza hili
Je na wewe ni voda fasta kama mange mnakwanguliwa hata kwa Tsh450 ? Nijibu nikujibu mwanakwerekwe ww
Kumbe ni she! Sio kosa lako
queenkami, mambo? Uliuwasha motto siku zile afu ukakimbia, mbaya sana wewe.Ni kadada fulani hivi kanapenda ugomvi kamegombana na watanzania wote wenye maendeleo.
Pia ni mwalimu wa machangudoa wanaotaka mabuzi wa kizungu.