Nakubaliana na Mange Kimambi kuhusu wasanii wa Bongo

Nakubaliana na Mange Kimambi kuhusu wasanii wa Bongo

Mange kaongea bonge la point ila tatizo watu wengi wana hasira nae,si unajua tena yule ni enemy of the people kwa hiyo hata akiongea kitu cha maana watu wanakubali kimoyomoyo ila kwa vile wanamchukia wanaamua kumponda.Mimi mwenyewe kanitoka ka kande zilizochacha ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapa mama mzungu kaongea point.Mange ana akili ila tu ndio hivyoo jina lake linanuka kinyesi kwa jinsi anavyopenda ugomvi.Hii point angeiandika Shamim ungeona jinsi watu wangekubali kuwa ni kweli.

Hapana! Hapana!
 
queenkami, mambo? Uliuwasha motto siku zile afu ukakimbia, mbaya sana wewe.

Hamna sikukimbia shosti.
Siku hiyo nataka kuingia kuchangia nikakuta umefungwa.
Ila nili mind sijui hata kwanini waliufunga uzi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Huyo anaeshauri angejishauri na biashara yake kwanza ilivyo na madunda na ndio ashauri watu.

Yaani atuwekee yanayomshinda wazi afunze jamii. Sio kusema wengine kila wakati kama vile yeye hana makosa au maanguko katika biashara.
 
Amemuongelea Diamond ila katafuta kutumia Kiba hakuna zaidi. Kama hakumtaka kumgusia Diamond asingemwandika kabisa ikawa kiba akaleta ya Diamond later.
 
Wewe hujui ni jinsi gani mnawapa presha awa wasanii, kila kukicha mnalilia wimbo mpya. Mara oh umezidi kuzubaa atoe nyimbo mara kwa mara kama fulani ndio matokeo yake wanakuja na vitu havieleweki. Mtu uwezo wake ni kukaa miezi 6 ndio aje na kitu kingine ila sasa analazimika akae miezi miwili. Anafanya vitu under pressure.

Mkuu ngoja nikuache.
Ila ushauri wangu kwa wadau......wakati mwingine jifunzeni kuwaelewa wasanii na nyimbo zao badala ya kuwatafutia kasoro vile tu hawajameet matarajio yenu/ ya wengi.
 
Mkuu ngoja nikuache.
Ila ushauri wangu kwa wadau......wakati mwingine jifunzeni kuwaelewa wasanii na nyimbo zao badala ya kuwatafutia kasoro vile tu hawajameet matarajio yenu/ ya wengi.

Lol wakiwaita wawe mameneja wao hawatawapondea watawapa moyo ili wafanye vizuri next time.

Kila mtu anataka kuwa bosi wa watu wa TZ yaani wamsikilize yeye tu aaemaye na kukazania points badala ya kusoma waonavyo wengine nakusepa.
 
Mange kaongea bonge la point ila tatizo watu wengi wana hasira nae,si unajua tena yule ni enemy of the people kwa hiyo hata akiongea kitu cha maana watu wanakubali kimoyomoyo ila kwa vile wanamchukia wanaamua kumponda.Mimi mwenyewe kanitoka ka kande zilizochacha ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapa mama mzungu kaongea point.Mange ana akili ila tu ndio hivyoo jina lake linanuka kinyesi kwa jinsi anavyopenda ugomvi.Hii point angeiandika Shamim ungeona jinsi watu wangekubali kuwa ni kweli.

Hala hala dada...
Msiwe mnapendelea kutuhumu.

Wengi wetu humu ni wadau wa muziki and we are here to find whats right and not who is right, from so goes the meaning of discussion hata kama maada imeoriginate kwa Mange.
 
Amemuongelea Diamond ila katafuta kutumia Kiba hakuna zaidi. Kama hakumtaka kumgusia Diamond asingemwandika kabisa ikawa kiba akaleta ya Diamond later.

Umemwoma eee! Diamond anamnyima sana raha
 
Huyo anaeshauri angejishauri na biashara yake kwanza ilivyo na madunda na ndio ashauri watu.

Yaani atuwekee yanayomshinda wazi afunze jamii. Sio kusema wengine kila wakati kama vile yeye hana makosa au maanguko katika biashara.

Anajifanya mama ushauri...anashauri kila kitu yani hadi ufundi wa umeme.
 
Huyo mtoa mada (kimambi) yupo sahihi kabisa,ila watu kwavile wanamchukia huyo mdada ndio maana wanaponda hoja zake.

Binafsi hizi nyimbo mbili za Ally Kiba (chekecha cheketua) na Diamond aliowashirikisha P square sijaona jipya,nilizidownload baada ya kusikia walichoimba nikazifuta hapohapo,hakuna jipya kwa kweli na bongo fleva utamu wake unapungua.

Big up Mange
 
Kibongobongo katika eneo la sanaa muziki kidogo ndio unaoonyesha uhai ndio maana unaona ata sponsors wameanza kuweka pesa zao.

Uwezi kufananisha na sanaa zingine zilizojifia kama muvi, ndondi, fashion, paintings nk. Sema ndio hivyo muziki umekosa creativity siku hizi hausikii wimbo ukabaki mdomo wazi kwamba huyu mtu kichwa chake kinawaza nini. Hela imekuwa nje nje ila waimbaji ndio hakuna matokeo yake muziki unakuwa kama one man show.

Kifupi naweza sema music bado haijapoteza dira ila kunaitajika innovation fulani kunyoosha industry. Kama mnakumbuka Salama enzi zake alikuja na mtindo wa kukosoa videos watu hawakumuelewa ila tuliona wasanii wakaanza kuimprove quality za video coz walikuwa wanapata lesson japo aliwaudhi.

Kama ni hivyo, hauna uelewa wa kutosha kuhusu dira ya jambo flani. Sitakusaidia kwa hili. I'm sorry
 
Mkuu ngoja nikuache.
Ila ushauri wangu kwa wadau......wakati mwingine jifunzeni kuwaelewa wasanii na nyimbo zao badala ya kuwatafutia kasoro vile tu hawajameet matarajio yenu/ ya wengi.
Huu ni mtazamo wangu tu, nnaweza nisiwe sahihi aslimia 100, sababu mwisho wa siku unaweza kuta mashabiki hicho ndio wanachopenda so siwezi kuwa nna akili mpaka ya kujua watu wengi wanataka nini. Nikupe mfano zamani kundi la Daz Nundaz wakati wanaanza game walienda kwa Majani akawafukuza akawaambia hawezi kurekodi kwaya wakaimbe kanisani jamaa wakatoka wakaenda kwa Mika Mwamba ikawa kila wanachorekodi ni wimbo wa taifa, mwisho wa siku majani akawaita mwenyewe wafanye biashara.

Mwisho wa siku point yangu ni kuona wasanii wanafanya muziki unaoishi na unaosikilizika na wapanue wigo kwenye kufanya music wao. Muziki unapokuwa sio msanii tu inabidi akue ata watu wakumsaidia inabidi waongezeke, bila hivyo mambo yata mwelemea.
 
Kama ni hivyo, hauna uelewa wa kutosha kuhusu dira ya jambo flani. Sitakusaidia kwa hili. I'm sorry

Mkuu zinc hauwezi kunielewesha chochote kuhusu dira ndugu yangu acha kejeli tusifike huko..wewe mtot wa kiume unaetongoza kina dada hapa jamiiforums mnafanya yenu kisha wakikukimbia unakuja kuwaanzishia thread kuwatukana na kuwadhalilisha uwezi kunifunza chochote...Jifunze kwanza ku-manage feelings zako then ndio utaweza kunifundisha mimi lolote.
 
Last edited by a moderator:
Jambo moja la msingi amezungumza, Ali kiba sasa anategemea bifu.

Mkuu inaelekea una chuki sana na kiba itakua alilala na mamako..

Kwasababu kwa wimbo wa mwana huwezi kusema kiba anategemea bifu..

Ni kweli huu wimbo mpya ni wa kawaida lakini unaendana na soko la sasa..

Ila wimbo wa MWANA ni bomb,hakuna msanii anaweza piga wimbo kama wa mwana hapa TZ

Punguza wivu wa kike
 
Mtoto wa kiume kuwa na CHUKI towards MWANAUME mwenzako...

Mleta Uzi huwa "anajifanya" anaujua sana Mziki wa Bongo, lakin cha kushangaza Kashindwa kugundua kuwa hiyo paragraph ya kwanza aliyoiquote kuhusu "music and identity" ni ya "KIJINGA" sana..identity katika Music ni kitu cha kwanza ambacho msanii yoyote is ought to Consider!! ndo maana since 90's mpaka leo tones na flows za kina Jigga, Nas, Snoop Dogg, Robert kelly, Usher, DMX etc, Now kuna kina Pharrel, Breezy, Weezy, Tyga, Drake, John legend, Jason Derulo, katy perry, T.I, Nelly Etc wameshaEstablish they're own identity, kias kwamba ukiflow au ukipita mule wanapopita u're in Trouble...

but mtu anakuja hapa na kusupport kuwa Ali kiba's Music umekuwa so identical!!!

from Run It to Loyal, Breezy anachofanya ni kubadilika kulingana na soko linavyotaka, huwez kumpata breezy wa Gimme that sahiv, au huwez kumpata Robert kelly wa The world's greatest sahiv,( ngoma ya Robert kelly mpya mmeisikia)..

Watu wanaenda na soko sahiv linataka nn, dunia inataka kuskia nn, siku hiz Drake anauza sokon zaid ya Nas Escober, Kitu ambacho mabishoo wa hatari kina MASE walishindwa (kuyapita mauzo ya kina Nas kwa single na Albums kwenye Billboard)...music ni biashara sahiv, unataka kiba atoe MackMuga sahiv??? soko la Music sahiv linataka hivyo??? asilimia kubwa ya mashabiki wa bongoFeva ipo wapi???

M-bongo ukijaribu kupinga ngoma kama Wiggle ya Jason, Roar, ngoma za Rich Gang (kina Young thug and Co.) kuwa hazina maana yoyote, anaweza akashambulia kwa matusi, lakin yupo free kuponda ngoma za kina Diamond na Kiba au Barnaba au Weusi, kuna haja gani ya kuponda ngoma za kibongo kuwa hazina maana wakat, Alejandro ya LadyGaga ikipigwa Club unacheza???

Aim ya Kiba ipo katika BIASHARA, acha Kazi yake ya Mziki imlipe..Coz Music ni Biashara siku hizi..hicho kitu kila siku NIKKI WA PILI anakisema, kama umeamua kufanya Music biashara,fanya iwe Biashara kweli!!!

Umeona mkuu..

Alafu hawajui next single ya Diamond ni mduara kamshrikisha khadija kopa..

Ndo mziki ulivo sasa toa watu wanachotaka sio unachoweza..
 
Back
Top Bottom