Nakubaliana na Mpina Bashe na Mwigulu Wasimamishwe Kazi kesi zikiendelea mahakamani

upuuzi wa mpina hauwezi kuacha watu wasifanye kazi yaani waziri wa fedha akae pemben huu ujinga no. moja
 
upuuzi wa mpina hauwezi kuacha watu wasifanye kazi yaani waziri wa fedha akae pemben huu ujinga no. moja
Huyo waziri ni Mungu? Hakuna watu wengine? Tena ni Mpuuzi sana alisema tusioweza kulipa tozo tuhamie Burundi! Burundi ya watu maskini? Tena hajui diplomasia ni mjinga TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…