Nakubaliana na Padre Kitima. Hakuna dikteta aliyedumu milele hapa Duniani. Hata Nicolae Ceusescu aliuwawa kama panzi kwa uonevu na mabavu yake

Nakubaliana na Padre Kitima. Hakuna dikteta aliyedumu milele hapa Duniani. Hata Nicolae Ceusescu aliuwawa kama panzi kwa uonevu na mabavu yake

Apewe ujumbe wa kamati kuu Chadema, analichafua kanisa. Kanisa limekubali kutumika kisiasa. Huu ni udhaifu wa Kanisa Katoliki.

Kitima ameshindwa kuficha maslahi binafsi aliyonayo kwa msingida mwenzie Lissu. Kanisa Katoliki kuendelea kumuacha Kitima kuwa kiongozi wa Kanisa ni udhaifu wa kimfumo dhidi ya kiongozi.

Kwamba Kanisa Katoliki lipo tayari kumlinda kiongozi anayepigania maslahi binafsi kwa kujikinga kwenye ngao ya dini.
Eewe ni shetani
 
Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu

Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo.

Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira, uchaguzi na hata haki za kuishi
Hata watunzi wanna katiba ya marekani hawako hai, mfano mfu huo
 
Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu

Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo.

Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira, uchaguzi na hata haki za kuishi
Cc Rwandizi Tz we do not have dictator
 
Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu

Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo.

Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira, uchaguzi na hata haki za kuishi
Madikiteta hawapendi kelelele hasa za wakosowaji

Vile Vile kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
CUF walisusia uchaguzi Zanzibar wala hatukuwasikia hawa viongozi wa dini wakilalamika. Kwanini milio sasa imekuwa mingi?
 
Kwani kuna Padre ataishi mile hapa Duniani.. Stupid waache kufanya Dunia NI Yao hiii...Huyo Samia ana haki ya kuenjoy Mema ya Dunia hiiii...
 
Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu

Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo.

Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira, uchaguzi na hata haki za kuishi
 
Shida ni nini hasa hadi watanzania tunatekane na kuuana.wakati wa Mwalimu wapinzani na critics wa serikali walikuwa wanawekwa kizuizini na,sio kuuwawa.Huyu aliyeleta mambo ya kuuana alaaniwe sana.
 
Ok, lakini ndiyo ukweli halisi,kuna awamu iliyokuwa ya hatari kama awamu ya 5?/ Hao vidomo domo wote walikimbia nchi,tuwe wakweli daima na tutabarikiwa sana.
Ukweli ndo huu, watu wanatekwa hawatekwi? Wanauawa hawauawi? Wanapotezwa hawapotezwi? Ni hatua gani zimechukuliwa? Lini uliwahi kumsikia rahisi akikemea haya mambo? Vip IGP? Vip Waziri wa mambo ya ndani?
 
Back
Top Bottom