johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umenikumbusha henzi za utoto unamwogopa mtu hadi unamwamkia mara mbili mbili, unazunguka ukikutana nae dakika 2 unampiga tena shikamoo....Kabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema muheshimiwa Rais!
Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!
Bwashee ulimi hauna mfupa!Kabudi katia fora, kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais! Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!
Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!
Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.
Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu...
Waligombea ubunge siyo uwaziri!Wale wabunge waliojiandaa watakuroga wewe
Kabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais!
Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!
Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!
Muheshimiwa munguππππKabudi katia fora,kajikuta kasema "mheshimiwa Mungu",akajishtukia na kurekebisha na kusema mheshimiwa Rais!
Nidhamu ikipitiliza inakuwa uoga na si nidhamu tena!
Nways,baraza la mawaziri ni muhimu liwahi kupatikana haraka iwezekanavyo!Tatizo Rais hawaamini watu wanaomsaidia kufanya vetting!
Rais umeapa vizuri na tabasamu lako kama yohane mbatizaji. Tehe teheee...Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa...
We unashinda kwenye Tv kuanzia asubuhi mpaka usiku,unatuletea uzi humuWaligombea ubunge siyo uwaziri!
Ulimi hauna mfupa!Muheshimiwa munguππππ
Vipi unazo ndoto hizo mkuu?Mbwembwe za madikteta tu.
Kila kitu anapanga yeye na anataka afanye yeye mwenyewe, akikuteua kuwa waziri wake anataka uwe karani wake.
Ni upumbavu mtupu.
Waziri ni msaidizi wa Rais!Mbwembwe za madikteta tu.
Kila kitu anapanga yeye na anataka afanye yeye mwenyewe, akikuteua kuwa waziri wake anataka uwe karani wake.
Ni upumbavu mtupu.
Kwani hujui Rais ndiyo mwajiri wao?Mbwembwe za madikteta tu.
Kila kitu anapanga yeye na anataka afanye yeye mwenyewe, akikuteua kuwa waziri wake anataka uwe karani wake.
Ni upumbavu mtupu.
Hahahaaaa........ maisha yamerahisishwa bwashee na teknolojia!We unashinda kwenye Tv kuanzia asubuhi mpaka usiku,unatuletea uzi humu
Bwashee Hongera nmekuvulia kofia
Ova
ππUlimi hauna mfupa!
Baraza la mawaziri linavunjika by default siku Rais anayoapishwa!So usidanganye hapa!Alichelewa kuvunja Baraza la mawaziri kwa hiyo atachelewa kuliunda, hii inaitwa 'offsetting'
Kuna kitu usichokubaliana naye? Naona unajichanganya tu mara rasimu ya Warioba na mliitupa kapuni, mara baraza litakuwa dogo <20, mara baada ya miezi 3-6. Wewe na mzee wako jiwe wote mmekutana akili moja.Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa...